Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Nilichogundua ni kwamba thread hii na JF kwa ujumla imevamiwa na kikundi kikubwa cha vijana wa CCM, na inaelekea wengi wao hawawezi kuchambua hoja zaidi ya kujua kufanya typing. Ni kazi kubwa sana kuendesha mijadala kwa style hii
 
Siasa za kihuni, kigaidi na kijambazi zinaimaliza chadema maskini...wananchi wa Arusha hawawezi kumchagua huyu kijana tena, wengi wamemchoka na matukio yake ya vurugu na maandamano
 
Acheni sheria ifanye kazi."makamanda wahini arusha"ili iweje. Who is lema by the way

Simple ni mtetezi wa wanyonge,ukimwona mtawala anatumia jeshi kutawala ujue kashindwa kutawala. Mr Dhaifu nchi imemshinda kakalia visasi tu, bado hadi 2015 tutaona matukio mengi ya ajabu.Mwambieni hakuna aliyefanikiwa kutawala kwa mtutu anajidanganya tu, nashukuru Rab ukombozi u njiani dalili zinaonekana.Ee Rab waaibishe wadhalimu wote na uwaadhibu kwa udhalimu wao.
 
kamanda Lema atatoka leo kwa dhamana'polisi wasishangae wama Arusha kwenda kumchukua kwa nguvu
 
Nadhani tunakosea sana kusema hii ni nchi yenye democrasia na amani wakati serikali yenyewe inachangia kupunguza amani na hii migogoro ya kisiasa... Mmmh! Mungu ibariki Tanzania..dumisha amani na umoja,wake kwa waume na watoto......
 
Labda Polisi wanatafuta njia kufuta ile sms ya mkuu wa mkoa.
 
Mkuu tunaomba update ya mambo kwa wewe uliye arusha.
 
Nadhani tunakosea sana kusema hii ni nchi yenye democrasia na amani wakati serikali yenyewe inachangia kupunguza amani na hii migogoro ya kisiasa... Mmmh! Mungu ibariki Tanzania..dumisha amani na umoja,wake kwa waume na watoto......
Mkuu mi naona tutafute kwanza lema alifanya nini tupime ndipo tujue nani anarushiwa lawama
 
Tamati ya lema kisiasa naiona yaja mbona haishi majanga sasa inataka kuwa tofauti na uheshimiwa.
 
nakumbuka siku moja MBOWE akiwa mikoa ya Iringa na MBeya aliwaasa wana-CDM sasa kuachana na siasa za vurugu na kwamba wajiandae kuchukua nchi, mbona ni kama ndo vurugu zimezidi, wamekata tamaa ya kuchukua nchi?

mkuu funguka vurugu gani unazozungumzia hapa?au neno limekutoka bila ridhaa yako?
 
Tamati ya lema kisiasa naiona yaja mbona haishi majanga sasa inataka kuwa tofauti na uheshimiwa.

tamati ya lema ipo mikononi mwa mungu kupitia wananchi na si nyie ccm kupitia mipango yenu dhalimu.
 
Back
Top Bottom