LUSAJO L.M.
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 274
- 134
Okay ngoja tuone tutasikia lipi jengine.
Wewe mburura usitupangie wakumchaguaSiasa za kihuni, kigaidi na kijambazi zinaimaliza chadema maskini...wananchi wa Arusha hawawezi kumchagua huyu kijana tena, wengi wamemchoka na matukio yake ya vurugu na maandamano
Labda Polisi wanatafuta njia kufuta ile sms ya mkuu wa mkoa.
wapishi wenyewe halafu mnauliza walaji siri ya chakula kutokuiva?magamba bwana
Yawezekana wanataka kumtengenezea ushahidi wa uongo kwenye simu, ipad na laptop waliyochukua. Au wanataka kufuta sms iliyotumwa na mkuu wa mkoa? Tutaona mengi ya kuudhi ili tuwe na hasira ya kutosha tutakapoamua.
Tunaomba updates na pia kama unajua sababu zozote za Llema kukamatwa
Tunaomba updates na pia kama unajua sababu zozote za Llema kukamatwa
gamba bibi yako!! mara kumi uniite gaidi kuliko kunipa jina gamba!!
Tamati ya lema kisiasa naiona yaja mbona haishi majanga sasa inataka kuwa tofauti na uheshimiwa.
Mkuu unafundua leo baada ya Lema kuwekwa ndani?Nilichogundua ni kwamba thread hii na JF kwa ujumla imevamiwa na kikundi kikubwa cha vijana wa CCM, na inaelekea wengi wao hawawezi kuchambua hoja zaidi ya kujua kufanya typing. Ni kazi kubwa sana kuendesha mijadala kwa style hii
Upeo mdogo wa
viongozi serikalini unatugharimu sana! Maaskari wa nchi yangu pia
wanaupeo mdogo sana,is watu wa kureason out kabisa! Wanaloambiwa na
wakubwa zao wanafuata kama makenge! Mwisho wa CCM utafika tu,hata kama
wakiua chadema Wote,CCM haitobaki na nchi hii!
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
mkuu sindano butu bahati mbaya sana bibi zangu wote walishatangulia mbele ya haki.......hilo jina unalotaka kuitwa ni lakimkakati ambao umeshindwa.
" Lema akirudi Bungeni nitakunywa sumu" .... Nchi ameshaharibika, mkuu wa mkoa alimwambia atampa kesi, anatimiza azima yake...