Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mktu umeweza kufuatilia mwanzo wa hili sakata then ndo uamue kuandika haya uliyoandika?

mheshimiwa nimefuatilia na nimeangalia hizo clips zilizowekwa na nnarejea lema anapaswa kushauriwa jinsi ya kuendesha siasa. si kila pahala husemwa lolote, au kusema ili mradi kujitafutia umaarufu au mtaji wa kisiasa.

mwenye akili atakiri kua kweli kuna mapungufu kwa upande wa serikali ktk kutatua hilo suali lkn lema ametumia hio loop hole vibaya. huo ndio ukweli. siasa za kizamani sana za kuchochea wananchi ili iwe mtaji wa siasa
 

Hii yote no matokeo ya kupeana vyeo kiswahiba....huyu mkuu wa mkoa ni mbumbumbu wa kutupwa! Ametengeneza uhasama kwenye kitu kilichohitaji a minute common sense! Kulikuwa na haja ya yote haya? Km ameshindwa ku-control wanachuo tu sidhani hata family yake anaiweza.....seuze mkoa! (Mind u this come from a pro CCM)
 

NDo umeamka nini? Hukujua cha kuandika. Kwa akili za kimasaburi na uongeaji wa kiserukamba unafikiri unajua lolote! Unawweza wa akili zako timamu ukasimama mbele ya wanaume wenzako ukasema UNAONA UMBO LANGU! Kwani Magesa ni nani? Kama ni nyama hata kwenye sambusa zipo!
Haiwezi kukuingia akilini eti Lema alienda kuchochea mgogoro halafu amwite Magesa! Lema alimwambia Magesa sema hivi! Akiwa kama mkuu wa mkoa hajui wajibu wake? Alikuwa wapi mpaka apigiwe simu na Lema? Wenyekiti wa ulinzi na usalama wa mko hajui wajibu wake! Shem on you the so called mkuu wa mkoa! Akubali akatae Arusha kaishindwa!
 
Muda huu wakazi wa Arusha wamekusanyika nje ya kituo cha polisi.Wamezuiliwa kuingia na wanazidi kuongezeka.

Kamanda Lema ataanza kuhojiwa muda sio Mrefu

Mkuu mimi sheria imenipitia pembeni kidogo,hivi kuna possibility ya dhamana kwa siku ya leo,au ni hila zao wamkamate leo na akae ndani mpaka jumatatu wampe kesi na kumpeleka mahakamani?
 

Kuna uwezekana mkubwa sana wa Lema kukatishwa uhai wake. Kwa kauli ya jna nanukuu ya sma he received from Mkuu wa mkoa.
What is the issue here. Raisi haoni haya? Ama kweli Tz tuna Rais. Na sijui kabisa what the man is doing there at Magogoni??? Mimi nasema ungonjwa mbaya zaidi duniani Ni kulewa Madaraka, dalili za ugonjwa huu ni kusahau kabisa kama huwa unakoma.
Heri yao hao wanaojiita wako juu ya Sheria kwa maana hawajui Sheria iko juu yao na ipo siku itawageuza ama wao or kizazi chao
 
Nawakumbusha watawala kuwa wenzao waliolewa madaraka walianza hivi hivi na matokeo yake wanayajutia hadi leo. Kawaulizeni kina Gadafi (huko waliko) na wanaosotea mahakamani kama kina Mubarak watawaeleza vizuri. RC wa Arusha taratibu kaka, yakikugeuka hayo matendo yako maovu utaiambia milima ikuangukie nayo milima itakukimbia.
 
Polisi kazi yao siyo uvamizi.. Polisi hawakuwa na jinsi. Bila shaka walikuwa wanasaka ushahidi juu ya 'udini' wa Rais kabla haujafika popote. Si rahisi kumtuhumu Rais na kubaki salama.. Alitakiwa ategemee kuwindwa.Kosa lake lilikuwa kuwapa 'leverage' ya kumpata.Na 'leverage' yenyewe ni mgomo wa IAA.
 
Nina uhakika polisi watafanya kazi Yao vilivyo bila kuogopa kelele za brainwashed people ambao wanafuata mkumbo bila kujitambua
 
Ritz huna hadhi yakuwa mwana Jf unawauwa nduguzetu kwa kuwauzia madawa yakulevya...Allah atakuhadhibu vikali.
 
salaam wanajf.
nijuavyo mimi nikwamba ili mbunge akamatwe na police katika mda ambao vikao vyabunge vinaendelea,ni lazima police wapate kibali cha spika.sasa je hawa police waliozingira nyumba ya mhe.lema usiku wamanane,na hatimae kumkamata,walifuata matakwa ya sheria hii?kama hawakuzingatia haya,wanatushawishi vipi tusiamini kuw lema amefanyiwa hivi kwakuwa ni mbunge waupinzani,nakwamba mkakati huu nimahususi kupunguza nguvu ya vdm bungeni,hasa mdahuu wa kupitisha bajeti?karibuni tujadiri.
 
Tatizo la wachangia mada hapa hawajui stori nzma ndo maana wanahara tu huku.am proud kuwa wa arusha bt sad kuzaliwa tz. Mtu alyezuia wanafunz wasiandamane kwenda kwa mkuu wa mkoa ndo alochochea vurugu.kwelii?poor thkng.jpangen upya mnakera na ujinga wenu. Hatutak mashindano arusha ni ya lema tu,gve hm peace and space plz.achen kujichosha kumchafua mtu kwa nguvu.
 
Walivyokamatwa wakina Mramba na Mgonja mijitu ilikuwa inafurahi, leo hii amekamatwa huyu mchochezi na muatarisha amani mnasikitika? heti ooh sipendi kumuona mtanzania akionewa, kwani hao wengine wakimbizi? kauli za Lema ni za kiuvunjifu amani, serikali ilipaswa iwachukulie hatua makamanda wote hapa nchini.
 
vgum sana kuwmelewesha mpumbavu kwa asilo lijua magamba wameishiwa mbinu twendemm nao tu ni ndugu zetu atuna pa kuwatupa ila wtaelewa
 
"brainwashed people ambao wanafuata mkumbo bila kujitambua" moja wapo ni wewe,pili pili si yako yakuwashia nini kama si umbea tu
 
Hii ndio tanzania yetu lets fight for the right thing ila tusifuate mkumbo coz kuitafuta haki in the wrong way is also wrong
 

Acha kupotosha umma we punguani mnywa mnazi. Na kama hujui kinachoendelea bora ufunge domo lako kuliko kujaza utumbo wako humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…