Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

Askofu angebakia kanisani asingekutwa na haya yote. Mtaka wingi na saba, hupata mwingi msiba.
Ameshapoteza credibility. Ndo maana watu wenye akiri catholics hawahuruhusu kabisa mapadre kuingia siasani. Tayari gwajima waumi watahama kwa mwamposa mana ameonekana hana akiri
 
Gwajima anaropoka bila ushahidi , anadai kuna watu wamepokea pesa kupitisha chanjo , ameombwa ushahidi ameshindwa, wacha panga limpitie
Yupo kama jpm ambaye alikuwa anatupiga kamba nyingi eti kuna mtu alikuwa akilipwa mil 7 kwa sekunde.
 
Ameshapoteza credibility. Ndo maana watu wenye akiri catholics hawahuruhusu kabisa mapadre kuingia siasani. Tayari gwajima waumi watahama kwa mwamposa mana ameonekana hana akiri
Ingawa inawezekana ana hoja, especially tunapoambiwa baadhi ya chanjo hazitambuliki wakati wengine washgachukua dozi. Kwanu miili ya binadamu ni ya kufanyia majaribio?

Shida yake ni kuwatumikia mabwana wawili..siasa na dini. Huwezi kuwatumikia wote ukabaki salama.
 
Back
Top Bottom