Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,706
- 93,423
Acha wauane hawa wapuuziMbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo
"Kitendo cha Gwajima kujitokea hadharani na kuwaambia Watanzania Chanjo mnayokwenda kuchanjwa haijafanyiwa Utafiti, adhabu zisiishie hapo. Hata Halima Mdee hajawahi kutufanyia vitimbi vya namna hii"
Amesema anashangaa kwanini Chama cha Mapinduzi (CCM) haijachukua hatua dhidi ya Askofu Gwajima