Mbunge Kenya aiba vifaa vya simu

Mbunge Kenya aiba vifaa vya simu

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
14,703
Reaction score
7,907
Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
 
Wakenya kwa Wizi hawajambo,sasa kama mbunge ni Jizi raia wa kawaida si ndio tucheze nao mbali.
 
Back
Top Bottom