Mbunge kaugua ghafla

Mbunge kaugua ghafla

Nahisi kwa kuwa yeye ni waziri wa uratibu basi atakuwa ndo anaratibu
 
Jamani huyo Mwanahamisi sijui nani ni mbunge wa wapi?
 
Huyo alieanguka sio usingizi kweli huyo maana wengine wanakesha kwene naninhiiii zile nyumba za wanyeji sorry za wageni
 
tumuombee afya yake iimarike ili awawakilishe vema walio mtuma
 
Hajalala ila anafikiria hivi kwa nini Mbowe anataka sitting allowance zifutwe?
Huyu hakulala anatafakari tu. Mnakumbuka msemo "ukiona kobe kainama anatunga sheria?". Basi bungeni ukiona mbunge wa sisiemu kainama "sio kulala) huwa anatutungia sheria.
AIBU! AIBU! AIBU!
 
Back
Top Bottom