Mbunge kaugua ghafla

Hata mimi nimeona muheshimiwa fulani kaanguka gafla na wamemtoa nnje haraka sana!
 
Nahisi atakua ni mbunge wa CCM maana ndio wabunge wanaoongoza kwa kuanguka ovyo akiongozwa na mwenyekiti wao!
 
Nimeona namna ambavyo hatuko sharp kwenye huduma ya kwanza. Hata kumtoa pale imechukua muda mrefu na kusababisha kutokuwa na usikivu bungeni hata Mbunge aliyekuwa anachangia ilibidi akatishwe mara kwa mara kwa sababu ya kelele. We are not serious!
 
mbunge gani huyo .. alikuwa anatoa hoja au anajibu maswali au ilikuwaje ???? tupeni ufafanuzi
 
Back
Top Bottom