Mbunge Kangi: Bunge, Mahakama, na vyombo vya Dola viwe huru

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa.

Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua Mali ya Umma

Ameyasema hayo leo Januari 29, 2026 wakati akizungumza bungeni na kueleza kuwa mihimili hiyo ikiwa huru kazi zitafanya kazi zake kwa usahihi.

"Mihimili ya dola Mahakama, Bunge pamoja na serikali inakuwa ni mihimili iliyo huru. Bunge liwe huru leo tukiletewa taarifa ya CAG(Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali) kwa mfano lazima tuijadili kwa uhuru kwa upana" amesema Kangi

Ameongeza kuwa "Mahakama iwe huru wapelekewe watu ambao wamefanya uhalifu watendewe haki za kuhukumiwa. Vyombo vya dola na vyenyewe viwe huru" ameongeza Kangi.
 
View attachment 3536107

Amesahau pia kuomba Ccm iwe huru ili ishindane na wengine kwa uzani sawa.
 
Nani anayenyima na kuminya uhuru wa mahakama,bunge na vyombo vya dola jibu ni ccm na serikali yake ya wahuni.

Kangi asitufanye sisi wajinga...aseme wazi bila kuogopa.
 
Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa.

Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua Mali ya Umma

View attachment 3536107

Ameyasema hayo leo Januari 29, 2026 wakati akizungumza bungeni na kueleza kuwa mihimili hiyo ikiwa huru kazi zitafanya kazi zake kwa usahihi.

"Mihimili ya dola Mahakama, Bunge pamoja na serikali inakuwa ni mihimili iliyo huru. Bunge liwe huru leo tukiletewa taarifa ya CAG(Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali) kwa mfano lazima tuijadili kwa uhuru kwa upana" amesema Kangi

Ameongeza kuwa "Mahakama iwe huru wapelekewe watu ambao wamefanya uhalifu watendewe haki za kuhukumiwa. Vyombo vya dola na vyenyewe viwe huru" ameongeza Kangi.
Bunge lenye members waliopatikana kwa hisani ya mtawala linawezaje kuwa huru kwa mfano? Mahakama yenye majaji na mahakimu waliopanda vyeo (au wanaotarajia kupanda vyeo) kwa hisani ya mtawala inawezaje kuwa huru kwa mfano? Vivyo hivyo kwa institutions zingine!
 
Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa.

Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua Mali ya Umma

View attachment 3536107

Ameyasema hayo leo Januari 29, 2026 wakati akizungumza bungeni na kueleza kuwa mihimili hiyo ikiwa huru kazi zitafanya kazi zake kwa usahihi.

"Mihimili ya dola Mahakama, Bunge pamoja na serikali inakuwa ni mihimili iliyo huru. Bunge liwe huru leo tukiletewa taarifa ya CAG(Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali) kwa mfano lazima tuijadili kwa uhuru kwa upana" amesema Kangi

Ameongeza kuwa "Mahakama iwe huru wapelekewe watu ambao wamefanya uhalifu watendewe haki za kuhukumiwa. Vyombo vya dola na vyenyewe viwe huru" ameongeza Kangi.
Sibiri kesi ya uhainiimhusu kama sii kutekwa
 
Wenzake maccm watakuwa wanam-zoom tu. Ili vyombo vyote viwe huru ni kwamba HAKI itendeke maeneo yote. Tatizo ni kuwa mafisadi/wauaji wanajua hawatoboi Haki ikitamalaki
 
Mzee wangu Lugola Una uhakika vyombo vya dola vikiwa huru unarudi Bungeni?.!.
 
Back
Top Bottom