Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Mungu ashukuruwe
Wewe ni mbuzi, umeweka ushabiki wa kikondoo badala ya kuweka taarifa. Mfu unayetembea weweView attachment 217535
Mh.Sungu amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.
Toyota Landcruiser VX100, hicho kitu hakuna, kuna tatizo tu la dereva aliyekuwa akiendesha.
Ukiniambia mwendo kasi , kupinduka kwa sehemu hizo rahisi sana, wiki mbilizilizopita nimepita hapo mara nne, kuna hairpin bends ambazo zinawachukua wazembe.
Kwa gari dogo kupinduka lazima mwendo kasi tu.
Kuna Watu Humu Mnajifanya Mnamjua Sugu Hebu Tuambieni Basi Leo Kavaa Chupi Ya Rangi Gani!
Mkuu wewe ni genius...nami namshauri afate ushauri wako
we jamaa upo na elim darasa la ngapi? Hivi overhaul na service huwa wanafanya madereva eti?
Sasa nimeelewa sabab ya wewe kukomenti hovyohovyo kila topic kwa low level of understanding.
mungu ni mwema , njama zao zimeshindwa , asante Mungu .
brake zaweza fail hata kwa gari ya aina hiyo,kuna ajali nyingine zinasababishwa na nguvu zisizo za kibinadamu, nimewahi kupata ajali iliyosababishwa na brake ku fail na stering kutokata kwa gari aina ya Nissan Patrol ambayo ilikuwa sawa hadi nikagonga gari lilokuwa limesimama mbele,bahati nzuri sikuwa kwenye spidi na barabara wala si ya mteremko,na baada ya ajali stering ikawa sawa,na brake zikafanya kazi kama kawaida,kwa hiyo si lazima iwe ni uzembe wa dereva ktk ajali
Mkuu breki haziwezi kufeli? Mbona hilo ni jambo la kawaida pipe inaweza kukatika au hata rubber za master cylinder au za kwenye pads zinaweza kupasuka.
Elungata, mabaya mliyokusudia yawarudie wenyewe! Shimo mlimlochimba mtumbukie nyie wenyewe! Nyavu mlizotandaza ziwanase wenyewe. Mliyemlenga azidi kuinuliwa na kuwa juu! Amina!Laana ya milele ikuangazie wewe na kila anayekuhusu amina .
pole kamanda
Mkuu MANI,
Inasemekana kuwa Sugu alikuwa bwii na msuba na alikuwa pia busy sana na simu kitendo ambacho kilisababisha kutokuwa makini barabarani, then kuna vijana wanasema CCM kwani dereva wake alikuwa Kinana? Dereva alikuwa mwenyewe kwa hiyo wakulaumiwa ni CDM wenyewe unless basi Kinana anamuendesha Sugu sasa!
Ushauri wangu Sugu punguza msuba ndugu yangu