hehemnyalu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 703
- 691
Mbona deen inaruhusu kisasi?
HATA MIMI SIJAELEWAIlikuwa inakula upepo na kivuli chini ya mti.
View attachment 1353438
Hicho nilichozungushia na red kazi yake nini?
...Mimi nilichoelewa ni kwamba mleta Post amemaanisha kuwa Mbunge alikuwa ndani kwenye Mkutano na Prado yake alikuwa kaipaki nje chini ya mti ndipo mti ukafanya vitu vyake, au mi ndio sikuelewa?Mbn hana hata dripu ya maji?
Duuuuuh! Hii ajali itakuwa ya mauzauzaPembe la ng'ombe halifichiki ndio asili yake[emoji443][emoji441][emoji450]
View attachment 1353444
Wewe waweza muua ndugu yako kisa tu kavaa jezi ya yanga
Hiyo ni mirror ndogo kama picha inavyoonesha maana naona mnaleta Imani shirikishi[emoji447][emoji441][emoji448]Pembe la ng'ombe, halifichiki ndio asili yake halifichiki...pembe la ng'ombe.., halifichikix3..pembe la ng'ombe , halifichiki wowowowo halifichiki... pembe la ng'ombe..[emoji443][emoji450]
View attachment 1353437
Mbn hana hata dripu ya maji?
Hebu angalia tena vizuri ile picha hiyo mirror ipo kivyake na hilo pembe la ng'ombe lisilofichika nalo lipo kivyake..Hiyo ni mirror ndogo kama picha inavyoonesha maana naona mnaleta Imani shirikishiView attachment 1354788
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawazimu? hebu angalia hiyo picha hapo chiniHiyo ni mirror ndogo kama picha inavyoonesha maana naona mnaleta Imani shirikishiView attachment 1354788
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mkutanoni kwenye Gari?duh shughuli imeanza... jamaa chali...