Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

Lini yeye alimtakia maalim Seif mema?

Screenshot_20200210-151623_Chrome.jpg
 
Kama yeye hakuwepo ndani ya gari huo mshituko mpk kulazwa hivyo unatokea wapi?

Huyu mbunge mayai sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Uscseme hivyo,, huenda ana tatizo la pressure. Kama ulishaona wengine wanakufa huku gari linatembea, wengine wamekaa kwenye sofa n.k.


Tunamuombea Mwenyezi Mungu amponye haraka aendelee na majukumu
 
Mzee kama huyo akikuchukulia mwanamke wako..
Nmewaza tu
 
🎻🎤🎺Pembe la ng'ombe, halifichiki ndio asili yake halifichiki...pembe la ng'ombe.., halifichikix3..pembe la ng'ombe , halifichiki wowowowo halifichiki... pembe la ng'ombe..🎼🎸
1581342803403.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20200210-164109.png
    Screenshot_20200210-164109.png
    226 KB · Views: 7
Back
Top Bottom