Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

Huyu si ndio yule alikua anaingia ikulu ya Zanzibar kama alivyotaka wakati wa urais wa komandoo Salmim Amour Jumaa? Jamani kila enzi ina mwanzo na mwisho
 
Huyu mbunge Naye kuangukiwa tu na tawi la mti ndio kalegea hivyo .Angeangukwa na container ingekuwa .Hebu amka haraka wewe mbunge acha kudela ebo
Sawa, wewe mkakamavu hata ukiangukiwa na mti unatoboa tu, wewe hata ukiangukiwa na ukuta unatoboa tu.... We Kweli terminator

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipapai...mwaka wa uchaguzi huu waacheni wapopoane.
 
Back
Top Bottom