Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,822
Reaction score
15,056
Mbunge wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar, Ibrahim Raza amepata ajali Ya Kuangukiwa Na Tawi la Mti Wa Muembe.

Kaangukiwa na mti maeneo ya Ngalawa Hotel iliyopo Bububu Zanzibar. Gari yake ndo iloumia mwenyewe Yuko vizuri ila kapata mshutko tu. Walikuwa katika mkutano.

Stay tuned
IMG-20200210-WA0007.jpg
IMG-20200210-WA0005.jpg
IMG-20200210-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom