Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

I hope Hawajajifanya Kumtengenezea Ushahidi wa "Senema Ovu walizocheza wenyewe"
 
I hope Hawajatumwa na Mtu Kupandikiza Vitu Nyumbani kwake, wataumbuka sana?
 
Huwezi mnyamazisha mtu kwa kumuweka mahabusu hata siku moja labda awe hajawahi kaa kwa sisi wengine ambao tumeingia huko toka tukiwa darasa la 5 si kwa kushangaa..watafute suluhisho
Kumbe usugu ulianza zamani
 
Wakatafute majambazi sio watu wanaopigani haki zetu
Mimi haki zangu zimeoanishwa kwenye Katiba ya JMT. Nikiminywa hiyo haki najua pa kuipata Kikatiba na siyo kwenye maandamano au mikutano.

Hao wanaohamasisha hiyo wanatafuta umaarufu wa kisiasa kupitia upumbavu na ulofa wako.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Umewahi ingia mahabusu na kupewa kibao au unasimuliwa tu? Vyombo vya dola ni pamoja na polisi,wapelelezi na special...

Exactly my point. Si analilia haki ya kuongea? Huko ndiko ataongea vizuri.
 
Mimi haki zangu zimeoanishwa kwenye Katiba ya JMT. Nikiminywa hiyo haki najua pa kuipata Kikatiba na siyo kwenye maandamano au mikutano.

Hao wanaohamasisha hiyo wanatafuta umaarufu wa kisiasa kupitia upumbavu na ulofa wako.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
kwahio unataka kusemaje? Sijakuelewa
 
Exactly my point. Si analilia haki ya kuongea? Huko ndiko ataongea vizuri.
Tatizo najibizana na mtu ambaye hajawahi ingia hata mahabusu ndomana ni rahisi kusema ataongea tu..jaribu siku yake kuna watu huwa wanaminywa hadi mananii lakini anakisimamia kile anachokiamini
 
Tatizo najibizana na mtu ambaye hajawahi ingia hata mahabusu ndomana ni rahisi kusema ataongea tu..jaribu siku yake kuna watu huwa wanaminywa hadi mananii lakini anakisimamia kile anachokiamini

Safari hii ataongea tu na ataongea vizuri sana.
 
Hivi kwa mwendo huu kuna haja ya mazungumzo?

Inasikitisha sana kuona hakuna nia ya dhati ya serikali kutaka kufikia muafaka kwa kwa kukubali kuitii katiba ya nchi kama inavyosema.
Hakika Mungu tunayemuamini ana macho ya kuuona ukweli, ana masikio ya kusikia sala zetu na hivyo ana mamlaka ya kumwadhibu yeyote
msababishaji wa uvunjifu wa amani.
 
Back
Top Bottom