gaspar kauki
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 578
- 194
Serikali ya viwanda
Usipotoshe UmmaJela za TZ hazikupi uhuru wa kufanya harakati zako ukiwa ndani ni tofauti na SA
Wasingehangaika kiasi cha kufanya polisi waache kazi zao na kuingia kwenye siasa.bahati mbaya wa kuandamana hawapo!
Anza tuHii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1
Halafu mnauliza ni kwanini raia wanalichukia jeshi la polisi? Hivi kama polisi walimhitaji Lema walishindwa kumpigia simu aripoti kituoni? Kulikua na haja gani kwenda usiku usiku kana kwamba wanaenda kumkamata bin laden? Wapiga kura wake hapo arusha na wafuasi wake nchi nzima wakiona huo uonevu unategemea watakua na mahaba na polisi?Nalipongeza jeshi la polisi.
hayo ndo yaliyompeleka mkuu wa mkoa Arusha,anafuata maelekezo ya mkuu,hao ndo mkuu anawahitaji,tutaona mwisho wake ila angejifunza kwa Mulongo Magesa,duniani bana tunapita,leo uko pale ila kesho hujui utakuwa wapiHabari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....
Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri
labda ni ile mambo ya magariHabari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....
Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri
Halafu mnauliza ni kwanini raia wanalichukia jeshi la polisi? Hivi kama polisi walimhitaji Lema walishindwa kumpigia simu aripoti kituoni? Kulikua na haja gani kwenda usiku usiku kana kwamba wanaenda kumkamata bin laden? Wapiga kura wake hapo arusha na wafuasi wake nchi nzima wakiona huo uonevu unategemea watakua na mahaba na polisi?
Ni raia wachache wanao lichukia jeshi la polisiHalafu mnauliza ni kwanini raia wanalichukia jeshi la polisi? Hivi kama polisi walimhitaji Lema walishindwa kumpigia simu aripoti kituoni? Kulikua na haja gani kwenda usiku usiku kana kwamba wanaenda kumkamata bin laden? Wapiga kura wake hapo arusha na wafuasi wake nchi nzima wakiona huo uonevu unategemea watakua na mahaba na polisi?
Hivi unadhani polisi wangekua wanahaha na kufanya magwaride ya uswahilini nchi nzima kwasababu ya "raia wachache"? Acha kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa mkuu.Ni raia wachache wanao lichukia jeshi la polisi
Tena wanywa viroba
Hawayajui intelejensia ya kutambua hayo hakuna kwa sasa intelejensia inatambua vyama vya upinzani (They put on a deaf ears)Hii imekua too much. Hii serikali sasa inafanya ata mwananchi asiye na chama akaenda kusupport ukawa. Laiti wangeyajua ya mtaani wangejipendekeza kwa wananchi
Hapo unachojaribu kusema -japo labda haujajua - ni kuwa wananchi wa Tanzania hawajafika kiwango cha ustaarabu, haki na ustawi unaotakiwa. Kwa maana mabadiliko yoyote huletwa na watu, na maendeleo ya namna yoyote huanzia kichwani kama wazo.Sivyo.Lkn kwa sababu nchi hii hakipo chama pinzani makini bado CCM Chakii wataendelea kuongoza tu hadi hapo wapinzani wa kweli watapopatikana.Kinachotufanya(Baadhi yetu)tusiwaamini no huko kushindwa kwenu kusimamia hoja na takarashi zenu!Hilo ni tatizo kubwa.Hamjajipanga kimkakati na ki-sera pia.Itoshe kusema,ninyi bado ni GENGE fulani la watamanio madaraka na si uongozi.JIPANGENI na hasa punguzeni UTOTO.
nadhani DodomaHii nchi sijui tunaelekea wapi
Mungu atusaidie tu