Mbunge Erick Shigongo Afunga Koment kwenye Instagram yake

Mbunge Erick Shigongo Afunga Koment kwenye Instagram yake

Huyu mbunge mjinga mpumbavu wa buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment.
Watu wa buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu mjinga aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
Huyu pamoja na rushwa ya kutisha aliyotoa kakataliwa kwao

Takwimu zinaonyesha kwamba ndio mbunge anayeongoza kwa rushwa hadi sasa
 
Huyu pamoja na rushwa ya kutisha aliyotoa kakataliwa kwao

Takwimu zinaonyesha kwamba ndio mbunge anayeongoza kwa rushwa hadi sasa
Huyo si ndiye Mzuri lakini?

Unadhani pesa za serikali wengine tutazipataje ikiwa hawatazitema wao?

Bora huyo kuliko Tale Tale anayegawa kanga pekee, sisi wanaume hatupati kitu.
 
Huyu mbunge Buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment.

Watu wa Buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
Nilihaidi T-shirt, nimeleta sijaleta!? NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Huyu mbunge Buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment.

Watu wa Buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
NRNE
 
shigongo kuingia kwenye siasa amejiharibia tuu maana tangu awe mbunge ni kugonga meza tuu sijawahi ona anatoa hoja nzito,angebaki tuu kwenye kuandika vitabu na umotiveshen speaker tungeendelea kumheshimu kama mwandishi bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom