Kama kuna sheria ama kanuni iliyokiukwa?
Huyu mama kwaabisha watoto wake ambao inasemekana wanaumri sawa na huyo kijana...Hao vijana wataficha wapi sura zao na aibu hii...Inasikitisha sana..
simtetei huyo mama Mb, lakini huwa naamini katika usawa wa haki za binadamu, kama ni makosa ni kwa pande zote mbili, either mwanamme mzee kumuoa binti mdogo au kijana mdogo kumuoa bibi yake. Juzi humu tumeona picha za babu akisheherekea birthday ya vitukuu zake mapacha alivyozaaa na mjukuu wake, mbona hamkusema kawaaibisha watoto wake, kwani huyo mzee hana watoto wanolingana au hata kumzidi huyo mjukuu aliyezaa naye?!!
Napingana kabisa na haya mawazo eti lengo la ndoa ni watoto siyo kabisa,watoto ni matokeo ya ndoa siyo malengo wako wengi waliooana na hawna mpango wa kuzaa watoto kabisaa.
Angalia ChanzoInaelezwa kuwa mbunge huyo ambaye ana familia ya watoto wawili ambao kiumri wanalingana na Michael, alianza uhusiano wa kimapenzi na kijana huyo kwa siri kubwa na baadaye alifanikiwa kumshawishi wafunge ndoa huku akimuahidi kumpa huduma mbalimbali anazotaka.
hajaonewa ni swali tuhuyu mama mbona mnamuonea sana?....kijana ana miaka 26,mtu mzima huyu...kaamua mwenyewe!tatizo liko wapi?
we unafikiri njaa kwa vijana ipo ndani ya ccm tu? chezea fweza weye!!! nasikia hata huyo mama lwaka naye pia ana ka kijana ka miaka kama hiyo anakatunza na ndiyo ka-manager ka mali zake zote.