Huyu mama mbona mnamuonea sana?....Kijana ana miaka 26,mtu mzima huyu...kaamua mwenyewe!Tatizo liko wapi?
Age aint nothing, kama wamependana poa tu
Unaweza kutuambia umri wako tafadhali?
Mimi nilipokuwa na miaka 18 tayari nilikuwa askari polisi kikosi cha traffic, na ningekutana na wewe enzi zangu ni kirungu tu , halafu uniite mtoto....
Hapa ndio tunapata maana halisi ya kale kausemi cha Mh. Nasari "UKOO WA PANYA"Age aint nothing, kama wamependana poa tu
Unaweza kutuambia umri wako tafadhali?
Mimi nilipokuwa na miaka 18 tayari nilikuwa askari polisi kikosi cha traffic, na ningekutana na wewe enzi zangu ni kirungu tu , halafu uniite mtoto....
tunajaribu kum-nusuru maana kijana wa miaka 26 damu yake inachemka vibaya sana kulinganisha na m-mama wa miaka 60.Huyu mama mbona mnamuonea sana?....Kijana ana miaka 26,mtu mzima huyu...kaamua mwenyewe!Tatizo liko wapi?
ok,ok,ok sasa nimejua kwanini ulirudi ccm.inaonyesha ulichotumwa cdm uliambulia patupu.age aint nothing, kama wamependana poa tu
unaweza kutuambia umri wako tafadhali?
Mimi nilipokuwa na miaka 18 tayari nilikuwa askari polisi kikosi cha traffic, na ningekutana na wewe enzi zangu ni kirungu tu , halafu uniite mtoto....
Ina maana CCM imeishiwa vyote hata maadili ya Kiafrika yameshafutika?, kama ndivyo basi wana tofauti gani na wanyama?Chonde chonde vijana wenzangu wa kitanzania tuwe makini na haya majimama ya cmm yasije yakatubemenda kama alivyofanywa kijana mwenzetu. Maana haya maccm viti maalumu yalivyo mengi alafu ukaja kwenye hii tabia ya mama kulala na mwana yatatumaliza
nakisika (sijaambiwa wala kuelezwa) yule babu mbunge kafa kaoza kwa kale kabinti - kakabidhi kila kitu alichobakiza ni pumzi tu - chezea mapenzi weye!!Najua tu unataka kuhalalisha ulafi wenu wa kingono. Yule mbunge wenu alikuwa anatembea na kibinti kiko under 18, na kusabisha kilio kwa Tanzania nzima hasa wapenzi wa filamu.
Usilete mambo ya cameroon hapa!Mira desturi ya mtanzania au mwafrika inabidi iheshimiwe kamwe!!Huwezi kutembea na na mtu aliyekuzidi miaka 40 then unasema"Age ant nothing"Eti hizo ni namba!!Huu ni upuuzi mtu mwenye akili timamu lazima akemee hi kitu hata kama unajifanya uoni ila ukweli upowazi!Age aint nothing, kama wamependana poa tu
Unaweza kutuambia umri wako tafadhali?
Mimi nilipokuwa na miaka 18 tayari nilikuwa askari polisi kikosi cha traffic, na ningekutana na wewe enzi zangu ni kirungu tu , halafu uniite mtoto....
Age aint nothing, kama wamependana poa tu
Unaweza kutuambia umri wako tafadhali?
Mimi nilipokuwa na miaka 18 tayari nilikuwa askari polisi kikosi cha traffic, na ningekutana na wewe enzi zangu ni kirungu tu , halafu uniite mtoto....
JF raha tupu. Kwa hiyo mkuu kifulambutu muhimu ni km inasoma kilomita na sio maili! Ahahahahaha, nacheka ki le mutuz.mbona kawaida tu kwani mwenye miaka 60 haisomi kilomiter? mbona mimi nina miaka 28 lkn sweet wangu ana 59 na kunako 6x6 hadi majirani wanachungulia madirishani?
hapa ndipo kwenye tatizo la msingi, yule bibi wa miaka 60 hawezi kukubali, iliwezekana anakutoa roho kabla hujaanza kuvinjari na binti wa rika lako kwa kutumia hela zake.Muache dogo apige mambo. Maisha magumu sana haya. Vuta mpunga jenga kwenu,jiweke freshi,zaa na mtu wa rika lako,mama kashafunga kizazi huyo. Ila kuwa makini kuna shaba siku hizi.Mia
duh kumbe ulianza maisha mapema sana, sasa ilikuwaje kuwaje ukaenda kuishi wa dadako hadi leo?Age aint nothing, kama wamependana poa tu
Unaweza kutuambia umri wako tafadhali?
Mimi nilipokuwa na miaka 18 tayari nilikuwa askari polisi kikosi cha traffic, na ningekutana na wewe enzi zangu ni kirungu tu , halafu uniite mtoto....
Hata hiyo nimekumbuka, kumbe ni mchezo wa mama wengi wa CCM kwani wakati wa kampeni za kukesha au mikesha ya Mwenge mara nyingi hata kama una mkeo kakesha huko ujue lazima amegwe na vijana wa Greeng gurd, kama vile wafwanwyavyo kina mama na wapiga ngoma za kukesha, CCM hawawezi kukwepa lawama za kusambaza virusi vya ukimwi kwa asilimia fulani.Ina maana CCM imeishiwa vyote hata maadili ya Kiafrika yameshafutika?, kama ndivyo basi wana tofauti gani na wanyama?
Hawa wafunga box ulaya wanalelewa na mabibi waleberali wanaitwa "MISINGI PENENGE"Msuri ndo inawaweka mjini!!Mkuu!!Au ndo unamaanisha na wewe umefugwa na jimama? maana nyie ccm mnamichezo michafu sana.