nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 71
Kwani we wafikiri wote wale wanaokufa kwa ujambazi huzikwa na nani? Hujizika wenyewe? Si hiyo serikali ndio huwazika? Au hilo hulijuwi.
Halafu hizo rambi rambi ni kutaka kuepusha madhara yanayochochewa na wanasiasa uchwara wa cdm. Au na hilo hulijui?, hao cdm kinachowapeleka huko kimbelembele ni nini kama sio kutafuta umaarufu na kuchonganisha watu? Tuwe wa kweli wa nafsi zetu kwanza.
Wewe acha pumba zako kinachotakiwa ni kuwa na record wamekufa na nini,wajinga wenzako wanakimbilia kuwahonga na kuzika kukwepa uchunguzi.Sasa hivi tumezinduka, tumezaa ili waishi kama wewe sio vinyago wenzako kupiga wananchi risasi,serikali inapswa kujiuliza imekosea wapi? mbaka haya yanatokea.