Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

faizal hao wanakijiji miaka nenda rudi iliyopita walikua na ardhi yao yenye dhahabu!waliishi raha mstarehe!jee ujio wa mwekezaji umewanufaisha kwa lolote?maisha yao yamekua bora zaidi?jee unaruhusa ya kuua mtu kisa dhahabu tena si yako!mbona wakulima huwa hawalindwi namna hiyo mashamba yao yanapovamiwa na tembo,nyani au wafugaji?

Sio faizal, Faiza. Rekebisha.

Kwani huyo mwekezaji alivamia? Si alikaribishwa na akafata masharti yote na akaahidiwa ulinzi wa mali zake na maisha yake? Au hilo hilijuwi. Kama umemchoka wamlipa kama mikataba uliyoweka, aondoke zake, si umeona ya dowans, humtaki kisha wekeza, mlipe. Zipo njia zake za kikanuni na si kumvamia. We wafikiri wale walinzi huwekwa kuzuia watu na henkachifu? Wacha puimba hizo, kuwa mkweli na nafsi yako, hata wewe ukivamiwa na mtu mmoja tu kwenye kaya yako utajitetea, kama huna bunduki, japo rungu au panga au hata utapiga mayowe, lakini huwezi kaa kimya. Au wewe ndio utalifukuza jambazi kwa henkachifu? Unanini babuwee?
 
Huna lolote, mvamie kwa watu halafu mwataka mpigwe kwa henkachifu? Unanini babuwee? Huku kwetu hata ukiianua kufuli uani tukikumata twakutia tairi la shingo, njoo na wewe ujaribu. Nashanga![/

Nimekuona tangu awali unawaza kwa kutumia makalio ndio maana unafikiria mtu akija kwako anataka kukubaka...hivi nani akubake mtu umenyata hata bibi yangu Bhoke Mwita nakuzidi uzuri?!! ndio maana naona wewe una njaa sasa ili uonekana umejivua gamba lazima utetee mauaji ya watanzania wenzako kisa wazungu waibe...muone hana haya nadhani huna uzazi wewe...wazazi hawafurahii vifo mana wana uchungu wewe unatoa mimba sana...
 
Why would "criminals" set fire to millions worth in mine equipment? How was it that these "intruders" had an estimated 3,000 people backing them up? In what appears to be a spontaneous civilian movement against Barrick Gold, the world's largest gold miner, thousands of people invaded Barrick`s North Mara Gold Mine this week in Tarime District and destroyed equipment worth $15 million. (photo of a "boma," or series of huts, in the Nyamongo village where the Mwita family lives. credit: Allan Cedillo Lissner, SomeoneElsesTreasure.blogspot.com)​

Why would "criminals" set fire to millions worth in mine equipment?

How was it that these "intruders" had an estimated 3,000 people backing them up?

In what appears to be a spontaneous civilian movement against Barrick Gold, the world's largest gold miner, thousands of people invaded Barrick`s North Mara Gold Mine this week in Tarime District and destroyed equipment worth 15 million. According to a Barrick Public Relations officer (as reported by the Tanzanian Guardian newspaper), "the intruders stoned the security personnel relentlessly until they overpowered them. The guards abandoned their posts and retreated to safety."

While Barrick implies that "high levels of crime" are the cause of this recent outbreak, recent reports suggest a different picture.
Allan Cedillos Lissner, a photojournalist who recently documented mine life near the North Mara mine, explains:

Ongoing conflict between the mine and local communities have created a climate of fear for those who live nearby. Since the mine opened in 2002, the Mwita family say that they live in a state of constant anxiety because they have been repeatedly harassed and intimidated by the mine's private security forces and by government police. There have been several deadly confrontations in the area and every time there are problems at the mine, the Mwita family say their compound is the first place the police come looking. During police operations the family scatters in fear to hide in the bush, "like fugitives," for weeks at a time waiting for the situation to calm down. They used to farm and raise livestock, "but now there are no pastures because the mine has almost taken the whole land ... we have no sources of income and we are living only through God's wishes. ... We had never experienced poverty before the mine came here." They say they would like to be relocated, but the application process has been complicated, and they feel the amount of compensation they have been offered is "candy."

Evans Rubara, an investigative journalist from Tanzania, blames this action on angry locals from the North Mara area who are opposed to Barrick's presence there. "This comes one week after Barrick threatened to leave the country based on claims that they weren't making profit," comments Evans after explaining that Barrick does not report profit to avoid taxes in the country. "This is a sign to both the government of Tanzania and the International community (especially Canada) that Poor and Marginalised people also get tired of oppression, and that they would like Barrick to leave."

Allan also recalls hearing stories of violent confrontation against the company. "One journalist in the North Mara area told me a story about a Barrick helicopter being struck down by a group of kids who threw rocks at it."

One thing is sure, these reports of hundreds attacking mine infrastructure – a move that allegedly took the life of one civilian – reflects a resentment that goes beyond mere criminal action. And this surge in violence should be examined in the context of the on-going exploitation and repressive environment surrounding the mine.

From: Thousands raid Barrick's North Mara mine, destroy $15 million in equipment : Indybay
 
sasa hicho kimbele mbele cha serikali kutaka kuzika na kutoa milioni tatu kinatoka wapi? wawaachie wenye wafu wazike wafu wao

wao kinawahusu nini? kama wanajua ni tresspasers wameuwawa wawachie ndugu wazike ndugu zao.. wanajishaua nini na kutaka kutoa msaada wa usafiri, rambi rambi na usafiri kwa wezi?

Kwani we wafikiri wote wale wanaokufa kwa ujambazi huzikwa na nani? Hujizika wenyewe? Si hiyo serikali ndio huwazika? Au hilo hulijuwi.

Halafu hizo rambi rambi ni kutaka kuepusha madhara yanayochochewa na wanasiasa uchwara wa cdm. Au na hilo hulijui?, hao cdm kinachowapeleka huko kimbelembele ni nini kama sio kutafuta umaarufu na kuchonganisha watu? Tuwe wa kweli wa nafsi zetu kwanza.
 
Na Anna Mrosso

21st May 2011

Lema%286%29.jpg

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amewaweka wafiwa katika kambi ya pamoja hadi mtafaruku wa kutozika watu waliokufa katika mapambano na polisi.
Lema alisema jana kuwa yeye kwa kushirikiana na viongozi wa Chadema wilaya ya Tarime wamechukua uamuzi huo kwasababu baadhi ya viongozi wa serikali wamekuwa wakiwafuata wafiwa hao na kuwashawishi kwa fedha ili wakubali kuzika ndugu zao.
Alisema baadhi ya wafiwa walimweleza kuwa viongozi wa serikali wamekuwa wakiwaeleza kuwa endapo watakubali kuzika watawasaidia kugharamia mazishi ikiwa ni pamoja na usafiri na chakula,pamoja na hayo waliahidiwa kupewa kiasi cha zaidi ya Sh. milioni tatu kama pole kwa kila familia iliyofiwa.
Waziri huyo alisema baada ya kupata taarifa hizo, aliwakataza wafiwa kupokea fedha wala kukubali serikali kugharamia mazishi kwa kile alichosema kuwa wakifanya hivyo vitendo holela vya mauaji kwa watu wanaoishi jirani na mgodi wa dhahabu wa North Mara(Nyamongo) vitakuwa kawaida.
Katika hatua nyingine, Lema alisema kuwa Jeshi la Polisi nchini linatakiwa kuwa makini la sivyo wataendelea kutumiwa vibaya na serikali hali itakayofanya Jeshi hilo kudharaulika kwa jamii japo wao wanapokea maelekezo kutoka kwa viongozi wa serikali.
Alisema kufuatia mauaji yanayotokea mara kwa mara katika mgodi huo si kwamba wawekezaji wanafurahia bali wao pia wanasikitika kwavile wanaona ni vigumu sana kukaa katika eneo ambalo jamii inayowazunguka hawawakubali.
“Vitendo vinavyofanywa na Jeshi la Polisi vinaweza kuhatarisha hata wawekezaji kukimbia,serikali inatakiwa kuwa makini na hilo,”alisema Lema. Naye Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema, Ester Matiko alitaka serikali ikae chini itafakari ni kwanini mauaji ya mara kwa mara yanatokea katika maeneo yaliyo na wawekezaji.
Matiko alisema mauaji hayo hutokea kwa sababu jamii inayoishi jirani na wawekezaji wanakuwa na hali ngumu ya kimaisha ambpo serikali haijafikiria ifanye nini ili jamii inayoishi katika maeneo kama hayo zijione nazo ni sehemu ya malighafi zinazozalishwa katika eneo husika.

CHANZO: NIPASHE

Wananchi wamefichwa na wananchi siyo Mh. Mbunge. Source Mwanachi.
Lema ameishaaondoka Tarime yuko Arusha.
Wananchi wamewaficha wenzao ili kuwalinda na kudhibiti serikali isiwarubuni wafiwa
 
Teteteee, Majini hayako kwenye mazishi kwa sasa?

Inabidi kuyangiza kwenye chupa za Konyagi na kuyaweka pembeni mwa Owner wake. Mtu kakosa ulinzi kwa sasa, labda huyu Faiza atangaze kulinda Serikali yetu maana na yeye kumbe ana MAJINI na NCHI KAVU.
Siyo ninja ni JINI la sheh yahaya lile.
 
Kwani we wafikiri wote wale wanaokufa kwa ujambazi huzikwa na nani? Hujizika wenyewe? Si hiyo serikali ndio huwazika? Au hilo hulijuwi.

Halafu hizo rambi rambi ni kutaka kuepusha madhara yanayochochewa na wanasiasa uchwara wa cdm. Au na hilo hulijui?, hao cdm kinachowapeleka huko kimbelembele ni nini kama sio kutafuta umaarufu na kuchonganisha watu? Tuwe wa kweli wa nafsi zetu kwanza.

hapo kwenye nyekundu rudi darasani.., maiti haziwezi kuzikwa bila kufanyiwa post mortem maiti zote zina risasi zilizopigwa kwa nyuma

unampigaje risasi mtu ambae sio tishio kwako?
 
Kwani we wafikiri wote wale wanaokufa kwa ujambazi huzikwa na nani? Hujizika wenyewe? Si hiyo serikali ndio huwazika? Au hilo hulijuwi.

Halafu hizo rambi rambi ni kutaka kuepusha madhara yanayochochewa na wanasiasa uchwara wa cdm. Au na hilo hulijui?, hao cdm kinachowapeleka huko kimbelembele ni nini kama sio kutafuta umaarufu na kuchonganisha watu? Tuwe wa kweli wa nafsi zetu kwanza.

Yani mijitu mingine akili zao ziko kwenye utumbo mpana, alafu na nyie mnapoteza muda wenu kujibizana na jitu kama hili. Ni kama ile hadithi ya kichaa kuchukua nguo zako wakati ukiwa bafuni unaoga alafu wewe bila kufikiria unamkimbiza kichaa. Hivi watu wakiwaona mnakimbizana hapo nani ataonekana kichaa wa ukweli? Huyu FAIZA ninashindwa nimuweke fungu gani ili ahesabike, hivyo tumuache kwani hatumii ubongo kufikiri.
 
we acha tu kuna watu njaa zinawasumbua sana, wako tayari kuuza utu wao kwa vihela wanavyopewa kuja kuandika utumbo humu

nadhani ni MS kaja kivingine naskia mpaka modem wamepewa na kazi yao ni kuja kuandika upupu humu jF
 
Kwani we wafikiri wote wale wanaokufa kwa ujambazi huzikwa na nani? Hujizika wenyewe? Si hiyo serikali ndio huwazika? Au hilo hulijuwi.

Halafu hizo rambi rambi ni kutaka kuepusha madhara yanayochochewa na wanasiasa uchwara wa cdm. Au na hilo hulijui?, hao cdm kinachowapeleka huko kimbelembele ni nini kama sio kutafuta umaarufu na kuchonganisha watu? Tuwe wa kweli wa nafsi zetu kwanza.

hunatumia utumbo kufikiri we umenufaika na kipi tangu madini yaanze kuchimbwa hapa nchi
 
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".

Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.

Huyu Faizafoxy ni foxy wa serikali ya magamba,ni mgeni wa nani huyu?katumwa mada zake zote anaitetea magamba.Pole yakikukuta utaelewa.
 
Hii ni aibu kwa serekali, ina maana sasa serekali inajua thamani ya mtu pindi ukishamuua? Ama kweli haya Makubwa!! Waendelee kuwaua the walipe kwani mtu anaweza kununuliwa kama bidhaa!!
 
Honestly nawashangaa polisi na mauaji, sisi huku kwetu tunasumbuliwa na majambazi wanaoteka magari kila kukicha wao wanahangaika na raia tena wasio na hatia kisa, mgodi wa mzungu?
 
gazeti la mwananchi la may 20 2011 limeandika kuhusu kufichwa kwa wananchi lakini halikumhusisha mbunge lema moja kwa moja na tuhuma hizi. Yafuatayo ni maelezo kutoka gazeti la mwananchi.

friday, 20 may 2011 21:20
anthony mayunga-tarime
"wananchi wa nyamongo wilayani tarime, wamewaficha na kuwapa ulinzi mkali, ndugu wa marehemu waliouawa na polisi katika jaribio la kuvamia mgodi wa barrick, ili kuepuka kile kinachodaiwa kuwa ni uwezekano wa serikali kuwarubuni ili wakubali kuzika.

Mei 16 mwaka huu polisi wilayani tarime, waliwaua kwa kuwapiga risasi, watu watano kati ya zaidi ya watu 1,000 waliovamia mgodi huo kwa lengo la kupora mchanga wa dhahabu.

Hivyo tukio hilo lililotokea katika kijiji cha matongo, wilayani humo limesababisha msuguano mkali kati ya polisi na wananchi wa eneo hilo ambao juzi, waligoma kuzika miili ya marehemu hao na kukataa rambirambi ya polisi.

Habari zilizolifikia gazeti hili jana, zilisema uamuzi wa kufichwa ndugu wa marehemu, unalenga katika kuhakikisha kuwa hawarubuniwi na vyombo vya serikali, inayotaka miili hiyo izikwe.

Jeshi la polisi limeonyesha nia ya kutaka kuzika miili hiyo kwa gharama zake na kutoa rambirambi kwa wafiwa, hatua ambayo wananchi wameipinga.

"tumelazimika kuwaweka ndugu wa marehemu katika kambi maalumu na kuwapa ulinzi mkali. Tunawagharimia kila kitu ili kuvunja nguvu za ushawishi zinafanywa na vyombo vya dola kwa kuwatumia wafanya biashara maarufu wa hapa,"alisema mmoja wa wananchi hao.

"tumefia hatua hiyo baada ya kuona serikali inataka kulifanya tukio hilo dili. Tumeanza kuona ikiwaita ndugu hao kwenye vikao vya siri juzi usiku na kuwashawishi wakubali kuzika na kupewa rambirambi ya sh3 milioni kwa kila mfiwa," alisisitiza mwananchi huyo.

"suala kubwa ni kwamba fedha hizo zimetoka wapi, sserikalini ama mgodini," alihoji.alisema kitendo hicho kinaashiria kuwa watu wengi wanaouawa na polisi na kuwahi kutangazwa kuwa walikuwa kwenye mapambano, wanauawa kimakosa.

Kauli ya mwanakijiji huyo iliungwa mkono na mbunge wa arusha mjini godbless lema, ambaye alisisitiza kuwa ndugu wa wafiwa wamefichwa.

Lema pia ni waziri kivuli wa mambo ya ndani aliliambia gazeti hili jana kuwa watu hao wamefichwa ili kudhibiti rushwa inayolenga katika kuwashawisihi wakubali mazishi."haiingii akilini kuona serikali hii inaua kisha inahaha kutoa rushwa kwa wafiwa, wanaficha nini kama walitekeleza wajibu wao wa kuua
waharifu, majambazi wavamizi, hizi fedha nani katoa, je kwa kufanya hivyo inamwekea mazingira gani mwekezaji maana hilo si suluhu la
matatizo,"alisema.

Kamishina chagonja aendelea kubanwa

katika hatua nyingine, mkuu wa idara ya operesheni katika jeshi la polisi, paulo chagonja jana alibanwa na ndugu wa majeruhi waliolazwa katika hospitali ya bugando wakitaka msaada.

"mkuu sisi ndugu zetu wako bugando wana hali mbaya sana, gharama ni kubwa hakuna msaada wowote uliotolewa, tuligharamia wenyewe kuwapeleka mbona hamuwazungumzii wanapataje hizo fedha lakini mnasema
mna ubani wa waliokufa, mpaka wafe ndipo uje utoe,"alihoji mmoja wao.

Hata hivyo chagonja hakujibu hoja hiyo na badala yake alisema "hapa kuna majeruhi wangapi,ooh wako bugando wako wangapi,ok sawa."

mbunge watia neno
mbunge wa viti maalumu chadema na ambaye pia ni waziri kivuli wa mambo ya uwekezaji, esther matiko, alisema, mpango wa serikali wa kuunda tume hauna manufaa kwa jamii na kuwataka watoe ripoti ya watu sita wanaodaiwa kuuawa mwaka jana katika hifadhi ya serengeti".

sasa sijui tushike lipi tuache lipi kati ya nipashe na mwananchi.

chunguza mjomba utabaini
 
safi sana kamanda lema, mkipatikana kama watano ivi nchi ingekomboka na huyo faiza naona ana matatizo ya vipande vya gamba vimebaki kwenye ubongo wake na kuna kila dalili za kuwa akizeeka atakuwa dobi.
 
Amang'ana Mura?

Mura nauliza kwanini serikali inawatafuta ndugu wa marehemu iwape milioni 3 kila familia? JE,NI HONGO,POLE AU SANDA?Bila shaka jibu sahihi ni HONGO(RUSHWA)ili kuwafumba vinywa!
Serikali ya Chama Cha Magamba-CCM inataka kuficha UKWELI hapa,KWANIN? Kila Mtz mwenye akili timamu knows kwamba Polisi wameuwa raia kwa risasi pasi na sababu ya msingi.

Pengine miminingeelewa kidogo kama wauaji wangelikuwa ni Wazungu wenyewe wenye mgodi. Lakini hilila polisi wetu wenyewe kuwaua Watanzania wenzetu eti kwa kulinda DHAHABU yetu wenyewe sipati picha kwa kweeri MURA!
 
Inasikitisha sana kuona wezi wa rasilimali zetu wanatukuzwa na kulindwa,huku wenye aridhi na umiliki tukiendelea kuumia na kuuawa.tumechoka kuvumilia,pole sana wanatarime ,msikubali mpaka haki itendeke ikiwezekana wenye mgodi wafukuzwe tuchimbe sisi wazawa.
 
Back
Top Bottom