Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Nauliza: Hii serikali ya kisanii, kandamizi na ya kifisadi ya CCM inayo mbinu au busara yoyote ya kutatuwa mgogoro huo zaidi ya ubabe, kumpakata mwekezaji, na kutumia risasi kuwauwa raia kwa niaba ya mwekezaji huyo? Haya yote yanayotokea hayakuwapo kabla ya ujio wa mwekezaji wa mgodi, watu walikuwa wanauana kwa masuala mengine.
haya ya kina Lema ni matokeo (manifestatitions) tu ya umafia wa serikali ya CCM na mwekezaji dhidi ya wananchi ambao kosa lao kubwa ni kutaka haki juu ya rasilimali zilizo katika eneo lao, na siyo haki ya familia zilizoko huko Canada.
Nashangaa mnamkazania Lema huku kiini cha suala hamtaki hata kukiangalia. Tatua kiini, halafu yote yatajiweka sawa. Serikali ya CCM haina busara wala mbinu yoyote ya kutatua mgogoro ila risasi tu. kuna mtu wa kubisha hapa?
Bora hata hao LHRC waliosema ni bora mgodi ukafungwa kwanza ili utatuzi upatikane kwanza.