Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

Kwani we wafikiri wote wale wanaokufa kwa ujambazi huzikwa na nani? Hujizika wenyewe? Si hiyo serikali ndio huwazika? Au hilo hulijuwi.

Halafu hizo rambi rambi ni kutaka kuepusha madhara yanayochochewa na wanasiasa uchwara wa cdm. Au na hilo hulijui?, hao cdm kinachowapeleka huko kimbelembele ni nini kama sio kutafuta umaarufu na kuchonganisha watu? Tuwe wa kweli wa nafsi zetu kwanza.

Wewe acha pumba zako kinachotakiwa ni kuwa na record wamekufa na nini,wajinga wenzako wanakimbilia kuwahonga na kuzika kukwepa uchunguzi.Sasa hivi tumezinduka, tumezaa ili waishi kama wewe sio vinyago wenzako kupiga wananchi risasi,serikali inapswa kujiuliza imekosea wapi? mbaka haya yanatokea.
 
faiza foxy unasikitisha sana, ndo mambo ya elimu ya madrasa nn? maana ungekuwa ushalibaini hili kwamba ni tatizo na hakika linahitaji solution/serikali makini kuchukua hatua stahiki
 
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".

Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Hebu jaribu kufikiri ki Great Thinker wewe. Hadi itakapothibitishwa na Tume Huru kwa uchunguzi wa kitaalamu na si huu wa Mbabaishaji Saidi Mwema a.k.a. shemejindiyo nitaamini maelezoya serikali. Hivi inaingia kweli akilini watu "zaidi ya Elfu moja" waliojizatiti kwa silaha wakavamia mgodi unaolindwa na polisi wasiozisidi 100 kupambanqa na polisi, kuuwawa watano na kujeruhiwa watatu kisha hakuna hata askari aliyechubuka? Huu ni uongo uliokubuhu wa CCM. Kama ni kweli walikuwa wezi wale na si waandamanaji ni kwa nini serikali inawaangukia CHADEMA wawashauri ndugu wakubali kuzika? Halafu tokea lini serikali imeanza utamaduni wa kutoa ubani kwa majambazi waliouwawa katika mapambano na polisi? Naamini kuna ukweli tofauti na inavyosimuliwa. Jambo moja ni wazi, nalo ni kwamba changamoto mpya zilizojitokeza hivi karibuni za wananachi kuamka na kudai haki zao kwa maandamano zimeliumbua Jeshi la Polisi na kuonyesha udhaifu wake katika kupambana na waandamanaji au hata tuseme vikundi vya watu wakorofi wasio na silaha kali yaani kama mawe, matofali n.k. Alichoahidi Saidi Mwema kuhusu utendaji wa weledi sasa umejulikana kama kufanya kazi kwa zima moto, bila kutumia akili wala huo unaoitwa weledi na uzezeta wa Jeshi linalofanya kazi kama moja ya asasi za CCM. Ni aibu kubwa ambayo historia kamwe haitaisahau. Kuzima vurugu hata za wahuni kama walivyowaita unahitaji machine gun kweli? Shame to Mwema and his hopeless thugs.
 
we leta mdomo tu hapa kama NAPE utavua huo ushungi sasa hivi shauri zako!!!watu wana hasira hapa we unaleta maneno yako ya kwenye kanga ...
 
kawulethi umshini wange....
 
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".

Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.
Hebu jaribu kufikiri ki Great Thinker wewe. Hadi itakapothibitishwa na Tume Huru kwa uchunguzi wa kitaalamu na si huu wa Mbabaishaji Saidi Mwema a.k.a. shemeji ndiyo nitaamini maelezo ya serikali. Hivi inaingia kweli akilini watu "zaidi ya Elfu moja" waliojizatiti kwa silaha wakavamia mgodi unaolindwa na polisi wasiozisidi 100 kupambana na polisi, kuuwawa watano na kujeruhiwa watatu kisha hakuna hata askari aliyechubuka? Huu ni uongo uliokubuhu wa CCM. Kama ni kweli walikuwa wezi wale na si waandamanaji ni kwa nini serikali inawaangukia CHADEMA wawashauri ndugu wakubali kuzika? Halafu tokea lini serikali imeanza utamaduni wa kutoa ubani kwa majambazi waliouwawa katika mapambano na polisi? Naamini kuna ukweli tofauti na inavyosimuliwa. Jambo moja ni wazi, nalo ni kwamba changamoto mpya zilizojitokeza hivi karibuni za wananachi kuamka na kudai haki zao kwa maandamano zimeliumbua Jeshi la Polisi na kuonyesha udhaifu wake katika kupambana na waandamanaji au hata tuseme vikundi vya watu wakorofi wasio na silaha kali yaani kama mawe, matofali n.k. Alichoahidi Saidi Mwema kuhusu utendaji wa weledi sasa umejulikana kama kufanya kazi kwa zima moto, bila kutumia akili wala huo unaoitwa weledi na uzezeta wa Jeshi linalofanya kazi kama moja ya asasi za CCM. Ni aibu kubwa ambayo historia kamwe haitaisahau. Kuzima vurugu hata za wahuni kama walivyowaita unahitaji machine gun kweli? Shame to Mwema and his hopeless thugs.
 
sio faizal, faiza. Rekebisha.

Kwani huyo mwekezaji alivamia? Si alikaribishwa na akafata masharti yote na akaahidiwa ulinzi wa mali zake na maisha yake? Au hilo hilijuwi. Kama umemchoka wamlipa kama mikataba uliyoweka, aondoke zake, si umeona ya dowans, humtaki kisha wekeza, mlipe. Zipo njia zake za kikanuni na si kumvamia. We wafikiri wale walinzi huwekwa kuzuia watu na henkachifu? Wacha puimba hizo, kuwa mkweli na nafsi yako, hata wewe ukivamiwa na mtu mmoja tu kwenye kaya yako utajitetea, kama huna bunduki, japo rungu au panga au hata utapiga mayowe, lakini huwezi kaa kimya. Au wewe ndio utalifukuza jambazi kwa henkachifu? Unanini babuwee?

haya ndio majitu yaliyopumbazwa kwa kulishwa unga wa ndere na bi kirembwe (viongozi), mtolewa (dr slaa) anapoyaamsha kwa kuyapa unga wa rutuba yanamuona kama sio, wewe subiri tu kwani hatima ya bibi kirembwe wenu inakuja.
 
Wacha mdogo wangu, hata babangu. Kama anavamia sehemu ya watu kwa kuiba na auawe na mazikoni siendi. Mwizi, Jambazi.

Unataka sema nini wewe, watu wakusanyike, waende kwa nia ya kupora na kudhuru wengine halafu wakae wanatizamwa macho tu? Nashanga! Piga ua, yeyote anae trespass, au hujui sheria za trespassing? Tena kundi zima, mnavamia sehemu waliopewa wawekezaji wafanye shughuli zao? Halafu muwachiwe, eti kwa nini? Kwa kuwa ni mdogo wake FF? Hata aingie mmoja tu uwani kwangu bila kuruhusiwa, wallahi nnamtia risasi halafu tutajuana mbele labda nisimuone! Haa, mtu aingie kwangu bila taarifa akinibaka? Na mie silaha nnayo nimuachie? Hapo hujanambia kitu babuwee.

Kwa hiyo sheria za trespassing zinasema kuwa mtu akitresspass auawe? Hebu tufafanulie vuzuri hiyo sheria. Na hao jamaa wanawekeza nini kwenye huo mgodi?
 
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".

Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.

Siku na wewe ukipigwa risasi ndiyo utajua maana ya kazi inayofanyika,tena unaweza kupigwa risasi ukakatika mguu au mkono usife,nakuambia siku hiyo ndipo utakapojua mantiki ya juhudi zinazoendelea nyamongo ambazo wewe unadai ni kutafuta umaarufu
 
Nimefuatilia hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe akizungumzia mauaji na vurugu zilizotokea kule Tarime baada ya kile kilichodaiwa wananchi kutaka kuvamia mgodi wa Barrick huko Nyamongo. Mheshimiwa Mbowe alikaririwa akisema amemtuma Mh. Godbless Lema na Mh. Ester, lakini pia amewatuma wanasheria wa chama kwenda kuhakikisha kwamba mazishi ya wahanga hao hayafanyiki bila kufanyiwa postmortem. Alimalizia kwamba yeye na timu yake wanaelekea huko na kuendesha harakati mpaka kieleweke.

Nimeitafakari kauli hii na nimekuwa nikijiuliza kama hatua hizo zinalenga kutatua kiini cha mgogoro au kina nina ya kuleta taharuki na pengine kuchochea hasira ambazo hatimaye zitaleta maafa zaidi kwa wananchi wa eneo hilo na mwisho wa siku wakubwa hawa kurejea Dar es Salaam huku wale waliowachochea wakiwaacha wanaendelea kumalizana. Je hali hii haiwezi kuleta uvunjivu mkubwa wa amani katika sehemu hii ya nchi yetu? Je kwa kufanya hivi kweli Chadema kinawasaidia wananchi hawa ambao mpaka sasa wana uchungu wa kuondokewa na wapendwa wao? Je Chadema wangependa kuwafanya wana Tarime waendelee kuwa katika hali ya majonzi kwa muda mrefu wakati hatima ya uchunguzi huo haitaleta taarfia tofauti na ile ya kwamba watu hao wameuawa na polisi, kama ambavyo polisi wenyewe wamekiri? Kwanini wasije na majawabu juu ya kile ambacho kinaweza kufanyika dhidi ya polisi kama itabainika kwamba nguvu waliyoitumia haikustahili kwa mazingira ya tukio hilo?

Mimi naogopa kwamba inawezekana hatua hii ya Chadema kuhamishia harakati Tarime inaweza kuwa ni kuongezea petroli katika moto unaowaka! Naomba kutoa hoja.
 
Mimi nafikiri hawa jamaa wanafurahia kuleta sintofahamu hata katika mazingira ambayo kinachohitajika ni faraja na kutafuta namna bora ya kuwasaidia waliofikwa na maafa haya. Serikali ni vizuri ikaliangalia hili na kujiridhisha kama hatua hiyo haina dhamira ovu na kuchukua hatua kali dhidi ya vitendo ambavyo vinasimika uhasama zaidi badala ya kuponya makovu.
 
Ni utu gani kwa kiongozi wa ngazi ya taifa kutumia vifo vya watu kisiasa.Kitendo chake cha kuteka nyara wafiwa ili mazishi yasifanyike inatakiwa kulaaniwa sana.Kama Lema ana malalamiko yoyote pamoja na kuwa mbunge wa jimbo lingine angesubiri hii miili ipumzike.Tunaomba atueleweshe sababu hasa kuleta huu uhasama ni nini.

Kama lengo la CHADEMA ni kutakuleta fujo ili nchi isiwe na amani, tunawaambia huo si utamaduni wa Mtamzania anayependa nchi yake.Na CDM haitafanikiwa kamwe.
 
Wanasiasa siku zote hutafuta umaarufu kwenye balaa. Hao cdm wanatafuta kupinda ukweli, hivi unavamiwa na kundi la watu, nawe una silaha, uwache wakuue? Loh! Haiyumkiniki kabisa. Unavamiwa na kundi la watu unafyatua risasi, kama arusha, wanataka kufanya hii dili ya umaarufu. "Mshindwe na mlegee".

Hao wawekezaji kabla ya kuwekeza huwa kitu cha kwanza wanaulizia usalama wao na mali zao utakuwaje wakiiwekeza? Ukishindwa kuwalinda hawawekezi. Na Serikali imekubali kuwalinda na imefanya vyema. Wanasias uchwara wasitake mtaji wa bure kwa hili.

blind mind, poor education, litle reasoning capacity.

Kipengele kipi cha katiba kinachosema serikali inabidi igalamie mazishi ya wavamizi?? Mbona vibaka wengi tu wanauliwa uku mtaani hawaji kugalamia mazishi yao??
Mbona mnaifananisha nchi yetu na kijiwe nyinyi??

kwahiyo ata kama walikua wavamizi, kwa akili yako unaona ni bora kuwaua ili kumlinda muwekezaji?? kama watu kama wewe mnaongoza ofisi napata picha kamili ya kwanini bado nchi yetu ni fukara licha ya kupata uhuru, use your frontal lobe to reason wewe, dont be bias in reasoning sensitive matters like this, tatizo lenu ata basic psychology hamjui ndomana mwingine kapigwa mawe.
ebu nakili hii website ikusaidie kujua atleast basic psychology www.about.psychology.com
 
Nimefuatilia hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe akizungumzia mauaji na vurugu zilizotokea kule Tarime baada ya kile kilichodaiwa wananchi kutaka kuvamia mgodi wa Barrick huko Nyamongo. Mheshimiwa Mbowe alikaririwa akisema amemtuma Mh. Godbless Lema na Mh. Ester, lakini pia amewatuma wanasheria wa chama kwenda kuhakikisha kwamba mazishi ya wahanga hao hayafanyiki bila kufanyiwa postmortem. Alimalizia kwamba yeye na timu yake wanaelekea huko na kuendesha harakati mpaka kieleweke.

Nimeitafakari kauli hii na nimekuwa nikijiuliza kama hatua hizo zinalenga kutatua kiini cha mgogoro au kina nina ya kuleta taharuki na pengine kuchochea hasira ambazo hatimaye zitaleta maafa zaidi kwa wananchi wa eneo hilo na mwisho wa siku wakubwa hawa kurejea Dar es Salaam huku wale waliowachochea wakiwaacha wanaendelea kumalizana. Je hali hii haiwezi kuleta uvunjivu mkubwa wa amani katika sehemu hii ya nchi yetu? Je kwa kufanya hivi kweli Chadema kinawasaidia wananchi hawa ambao mpaka sasa wana uchungu wa kuondokewa na wapendwa wao? Je Chadema wangependa kuwafanya wana Tarime waendelee kuwa katika hali ya majonzi kwa muda mrefu wakati hatima ya uchunguzi huo haitaleta taarfia tofauti na ile ya kwamba watu hao wameuawa na polisi, kama ambavyo polisi wenyewe wamekiri? Kwanini wasije na majawabu juu ya kile ambacho kinaweza kufanyika dhidi ya polisi kama itabainika kwamba nguvu waliyoitumia haikustahili kwa mazingira ya tukio hilo?

Mimi naogopa kwamba inawezekana hatua hii ya Chadema kuhamishia harakati Tarime inaweza kuwa ni kuongezea petroli katika moto unaowaka! Naomba kutoa hoja.

Inasikitisha. Hii ni kama mtu anayefanya sherehe na huku anajua jirani yake kuna msiba. Hivi baada ya mkutano na labda maandamano, wafiwa watapata faraja? Kwa nini Chadema wasianzishe harakati za kushinikiza serikali katika namna ambayo itazaa matunda na hasa kwa vile wana wanasheria mahiri ambao wanaweza hata kuanzisha mashauri mahakamani na kuwatia hatiani wale waliohusika na mauaji haya?
 
Mimi nafikiri hawa jamaa wanafurahia kuleta sintofahamu hata katika mazingira ambayo kinachohitajika ni faraja na kutafuta namna bora ya kuwasaidia waliofikwa na maafa haya. Serikali ni vizuri ikaliangalia hili na kujiridhisha kama hatua hiyo haina dhamira ovu na kuchukua hatua kali dhidi ya vitendo ambavyo vinasimika uhasama zaidi badala ya kuponya makovu.

Kwa jinsi watu wa Tarime walivyo na hasira, si ajabu wakafurushwa kama alivyofanyiwa mbunge wao au hata Lema. Ngoja tuone.
 
  1. Lema kaenda pale kama waziri kivuli
  2. Pia anataka kwanza ifanyike postmortem ili wafiwa wajiridhishe kuwa marehemu walipigwa risasi sehemu zipi?
Ushauri wangu kwako if waliouwawa wangekuwa ndugu zako je ungewazika fasta fasta, Elimika mkuu sio kukaa na kuandika utumbo humu jamvini
 
Kufanya uchunduzi kabla ya mazishi ni mpango mzuri,Japo Chadema km chama cha siasa hawana sababu kubwa ya kuingilia mgogoro huu.La sivyo itaonekana kwamba pia wao walihusika kushinikiza wananchi kuvamia mgodi...na vitendo vingine km mbunge kupigwa mawe.Serikali yenyewe ione umuhimu wa kufanya uchunguzi kabla ya mazishi.Uchunguzi huu utaisaidia polisi katika kazi zake za kufanyia upelelezi swala hili na kutoa ripoti nzuri na yenye ukweli kwa Watanzania.Sio mazishi yameishafanyika wanashindwa kujibu maswali km,fulani alipigwa risasi ngapi?,ya shingoni au ubavuni? Kwa mbele au kwa nyuma? na mengine.
 
Uvunjifu wa amani umeshatokea Tarime. Watu wameshapoteza maisha yao. Wanachofanya Chadema sasa ni "to hold the government's feet to the fire." That is what the opposition does, no?
 
Tuache jazba wandugu. Ngoja tuone hicho wanachodhamiria kukifanya kwa wananchi wa Tarime halafu tuone kama kina manufaa kwa taifa.
 
Kufanya uchunduzi kabla ya mazishi ni mpango mzuri,Japo Chadema km chama cha siasa hawana sababu kubwa ya kuingilia mgogoro huu.La sivyo itaonekana kwamba pia wao walihusika kushinikiza wananchi kuvamia mgodi...na vitendo vingine km mbunge kupigwa mawe.Serikali yenyewe ione umuhimu wa kufanya uchunguzi kabla ya mazishi.Uchunguzi huu utaisaidia polisi katika kazi zake za kufanyia upelelezi swala hili na kutoa ripoti nzuri na yenye ukweli kwa Watanzania.Sio mazishi yameishafanyika wanashindwa kujibu maswali km,fulani alipigwa risasi ngapi?,ya shingoni au ubavuni? Kwa mbele au kwa nyuma? na mengine.

I agree with you. But would you need a public rally to hold the Government or whoever is involved accountable? Suala hili lingeweza kuendeshwa kitaalam kwa kushirikisha wanasheria waliowatuma na viongozi kadhaa bila kusababisha tension isiyo na lazima. Kama ulivyosema, hii swift reaction inaweza kuzua maswali kama waungwana hawa hawakuwa na uhusika katika kinachodaiwa kuwa uvamizi.
 
Back
Top Bottom