Mbunge atakayeingia Kamati ya kuichunguza TISS atakuwa amejiteka mwenyewe

Hivi punde tunaomba upendekeze wasomi unaowafahamu maana unaonekana mjuzi saaana.
 
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kwa idara ya MASHUSHU Kuchungzwa na wasio na weledi wa kishushu. Yaani wewe unatumwa na Zitto uende ukawachunguze wana usalama wa taifa na wewe unaenda hahahahaha.

Kwa kifupi bunge hiyo kamati zito anayotaka iundwe kwenda kuwachunguza mashushu itajikuta inajichunguza yenyewe badala ya kuchunguza wanausalama hao.

Kwanza mkumbuke kuwa hawa mashushu sifa kuu ya kuajiriwa ni Lazima uwe na uwezo mkubwa wa kiakili Darasani. Kwa maana hiyo hawa ni mkusanyiko wa wale waliokuwa wanatuongoza darasani ndio maana upatikanaji wao mara nyingi hufanyika kwa kuwatafuta mashuleni tena kwenyenzile Shule bora na za Vipaji.

Hawa ndio mnaotaka kwenda kuwachunguza??? Sifa ya kuwa mbunge ni wewe ujue tu kusoma na kuandika unataka kwenda kumchunguza Shushushu. Kama wamewateka kuliko muende kuwachunguza bora muwaombe msamaha tu wasiwateke tena.

Itakuwa ni ajabu kama Mashushu wetu watakubali kufuatiliwa kirahisi na itaonyesha udhaifu mkubwa sana. Hapa ndipo mnapotakiwa muuonyeshe umma kuwa kweli nyie mlikuwa bora darasani......

Na kama mtachunguzwa na kamati zetu za bunge zenye sample ya wabunge aina ya kina Mbowe walioshindwa kutafsiri maswali ya form six hadi akalamba ziro na kweli mkakamatika na kosa basi nchi haitakuwa Salama. Kama hawa wakifnikiwa vipi wenye sifa kama za kwennu toka mataifa mengine si watakuwa wanatujua hadi tunavyolala?

Dhihirisheni ubora wenu
Hahaha, hivi likizo ya pasaka inaisha lini urudi shule we binti wa Loyola secondary school
 
Uliyeandika hii Thread upo chumba chenye giza nene sana. sifa za kuwa shushushu sio kama unavyotudanganya hapa kuwa ni lazima uwe kipanga Darasani.
kwa mtazamo wangu na udadisi wakupitia taarifa za baadhi ya organisations za nje ambazo sio classified.
Baadhi ya Sifa kuu ni Umakini/SELF AWARENESS, Ujasiri, Udadisi ,Kuwa Msiri hata ikiwezekana kufa. Kwasababu kazi kubwa nikukusanya taarifa, kuzichambua/analysis na kusambaza sehemu husika kwa ajili ya hatua.

Kuhusu Academic Performance ni relevant pia kwani anaweza kuhitajika Mchumi, mwanasheria , dr nk lakini lazima awe na sifa za msingi na sio UKIPANGA WAKE WA DARASANI
 
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kwa idara ya MASHUSHU Kuchungzwa na wasio na weledi wa kishushu. Yaani wewe unatumwa na Zitto uende ukawachunguze wana usalama wa taifa na wewe unaenda hahahahaha.

Kwa kifupi bunge hiyo kamati zito anayotaka iundwe kwenda kuwachunguza mashushu itajikuta inajichunguza yenyewe badala ya kuchunguza wanausalama hao.

Kwanza mkumbuke kuwa hawa mashushu sifa kuu ya kuajiriwa ni Lazima uwe na uwezo mkubwa wa kiakili Darasani. Kwa maana hiyo hawa ni mkusanyiko wa wale waliokuwa wanatuongoza darasani ndio maana upatikanaji wao mara nyingi hufanyika kwa kuwatafuta mashuleni tena kwenyenzile Shule bora na za Vipaji.

Hawa ndio mnaotaka kwenda kuwachunguza??? Sifa ya kuwa mbunge ni wewe ujue tu kusoma na kuandika unataka kwenda kumchunguza Shushushu. Kama wamewateka kuliko muende kuwachunguza bora muwaombe msamaha tu wasiwateke tena.

Itakuwa ni ajabu kama Mashushu wetu watakubali kufuatiliwa kirahisi na itaonyesha udhaifu mkubwa sana. Hapa ndipo mnapotakiwa muuonyeshe umma kuwa kweli nyie mlikuwa bora darasani......

Na kama mtachunguzwa na kamati zetu za bunge zenye sample ya wabunge aina ya kina Mbowe walioshindwa kutafsiri maswali ya form six hadi akalamba ziro na kweli mkakamatika na kosa basi nchi haitakuwa Salama. Kama hawa wakifnikiwa vipi wenye sifa kama za kwennu toka mataifa mengine si watakuwa wanatujua hadi tunavyolala?

Dhihirisheni ubora wenu
Wewe Hivi punde ni "mjinga". Ukiongea hapa ujue unaongea na watu caliber tofauti, literate to semi-illiterate to dumbasses (like you, methinks)..
Idara ya Usalama hii ya sasa ipo kwa mujibu wa Sheria. Wabunge ndio watunga sheria. Ni bahati mbaya hawajui mamlaka yao, labda kwa kujua au kuto kujua, au bipartisan.
Kusema ati sifa kuu ya kuwa TISS ni kuwa na akili darasani, kama ulivyosema hapa "Kwanza mkumbuke kuwa hawa mashushu sifa kuu ya kuajiriwa ni Lazima uwe na uwezo mkubwa wa kiakili Darasani. Kwa maana hiyo hawa ni mkusanyiko wa wale waliokuwa wanatuongoza darasani ndio maana upatikanaji wao mara nyingi hufanyika kwa kuwatafuta mashuleni tena kwenyenzile Shule bora na za Vipaji"- Ni kutufanya wajinga, na kujilisha upepo wewe mwenyewe.
Kwa Nchi zinazotambua nguvu ya Intelligence, ndio.. hiyo ni sifa "mojawapo". Lakini pia utambue TISS ina directorate kadhaa, including "WALINZI", I mean guards, wanao pewa mafunzo, wengine ufahamu wao ni kama SUNGUSUNGU au MGAMBO..
So to speak, TISS ipo kwa mujibu wa sheria, na inapaswa ku-operate kwa mujibu wa Sheria. Si kujifanya "Demigods".
Hata CIA, NSA, NI,- USA wanawajibika na kuketishwa kwenye kiti moto na kamati za Congress (Kama una exposure ya kufatilia mambo ya "wenye akili")
 
TISS ina vitengo vingi, mfano, mmachinga au muuza karanga za kukaanga Mwenge anaweza kuwa ni TISS. Na anaeajiriwa TISS hawezi kukuambia kirahisi kutokana na nature ya kazi.

Kama TISS bado inafanya kazi kwa namna hiyo basi jua tuko karne ya 12 huko,..na labda ndio maana tunashindwa kwenye mambo mengi yanayohitaji umakini na msaada wa hawa watu...
 
Kwani hakuna Wabunge waliokuwa MIT na TISS,TAKUKURU na CID wanaojua hayo mambo ya kijasusi
 
eti mashushuuu wa tz n majiniaz???? lahaulaaa wangekua wana akili mipango yao isingebumburuka everyday tena na mwananchi wa kawaida anaejua kusoma na kuandika tu...wangekua na akili sidhan kama wangeshindwa kuchukua hatua kwa yanayoendelea kwa maslah mapana ya nchi.....NI WACHUMIA TUMBO FLAN AMBAO WAPO KWA MASLAH YA CCM
 
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kwa idara ya MASHUSHU Kuchungzwa na wasio na weledi wa kishushu. Yaani wewe unatumwa na Zitto uende ukawachunguze wana usalama wa taifa na wewe unaenda hahahahaha.

Kwa kifupi bunge hiyo kamati zito anayotaka iundwe kwenda kuwachunguza mashushu itajikuta inajichunguza yenyewe badala ya kuchunguza wanausalama hao.

Kwanza mkumbuke kuwa hawa mashushu sifa kuu ya kuajiriwa ni Lazima uwe na uwezo mkubwa wa kiakili Darasani. Kwa maana hiyo hawa ni mkusanyiko wa wale waliokuwa wanatuongoza darasani ndio maana upatikanaji wao mara nyingi hufanyika kwa kuwatafuta mashuleni tena kwenyenzile Shule bora na za Vipaji.

Hawa ndio mnaotaka kwenda kuwachunguza??? Sifa ya kuwa mbunge ni wewe ujue tu kusoma na kuandika unataka kwenda kumchunguza Shushushu. Kama wamewateka kuliko muende kuwachunguza bora muwaombe msamaha tu wasiwateke tena.

Itakuwa ni ajabu kama Mashushu wetu watakubali kufuatiliwa kirahisi na itaonyesha udhaifu mkubwa sana. Hapa ndipo mnapotakiwa muuonyeshe umma kuwa kweli nyie mlikuwa bora darasani......

Na kama mtachunguzwa na kamati zetu za bunge zenye sample ya wabunge aina ya kina Mbowe walioshindwa kutafsiri maswali ya form six hadi akalamba ziro na kweli mkakamatika na kosa basi nchi haitakuwa Salama. Kama hawa wakifnikiwa vipi wenye sifa kama za kwennu toka mataifa mengine si watakuwa wanatujua hadi tunavyolala?

Dhihirisheni ubora wenu

Wewe walikuchukulia shule gani?
 
Ni vilaza tu.wenye akili hawakurupuki na kuacha nyayo nyuma !!
 
Eti wanaongoza darasani, Mi nwenuewe nlikua naongoza darasa ila kwa sasa nko tu mtaani. Hao ni watu wa kawaida sana tu kielimu kikubwa upewe hayo mafunzo hata kamw ulikuwa 0 darasani
 
Eti ni watu wenye uwezo mkubwa kiakili,thubutuu,wangekuwa na akili wasingekuwa wanacheza michezo ya kipuuzi kama hii,hivi inahitajika uwezo gani wa akili kumteka mtu ama kumngofoa kucha na meno.This guys are a team of sadistic psycopaths.waangalie CIA na na mishe wanazocheza,unaona kabisa watu waliumiza akili sio hawa punguani wetu
 
Mimi nimeongoza mbona hao watekaji siwajui.. pia wangekuwa na akili sana wangemlazimisha max kuwapata majina halisi ya members wa jf.. hao ni wa kawaida tu
 
CIA pamoja na ukubwa uwezo na ubabe wao bado wameshaundiwa kamati za bunge kuwachunguza,plus congressional hearings zakutosha na walipokutwa na hatia wakakubali na kuomba radhi,sasa iweje uwatishe wabunge wetu.tatizo tumeshajijengea hali ya uoga na kudhani hao TISS ni miungu watu na hawagusiki,its just an intelligence agency.
 
shushushu kipanga wapi mbona wamewafuata chuoni kwetu mwaka juzi wakachukua wale wa kawaida wenye sapu kila iitwapo semista......
 
Back
Top Bottom