Mbunge ataka wafungwa waende gerezani na magodoro

Kwahiyo godoro utarudi nalo ukimaliza kifungo?
Je, huoni kuwa unatengeneza matabaka ?
Serikali inapaswa kuwahudumia wafungwa kwa kila kitu na si vinginevyo.
Matabaka yako tu ila kuliko Mahabusu ateseke wakati anauwezo wa kuja na godoro lake ni mbaya
 
Wabunge nao wawe wanaenda bungeni na magari yao binafsi na wala wasinunuliwe yale mashangingi...

Wabunge wawe wanaenda na viti vyao kwenye ukumbi wa bunge, wala serikali isiingie gharama kununua zile comfy auditorium seats...

Ikiwezekana wabebe na vipaza sauti vyao
 
Huyu mbunge angesimamishwa mikutano kadhaa anafanya wabunge waonekane wahishiwa sio waheshimiwa
 
Back
Top Bottom