Mbunge Assumpter N. Mshama

Mbunge Assumpter N. Mshama

Ni mama wa wale watoto wanaimbaga gospel wakuitwa "J sisters"
 
Wakati anagombea Ubunge alificha kazi yake ya awali na kujifanya hotelier!

Hivi unajua maana ya AIR HOSTESS?
Ngoja nikupe tafsri Akikuletea Chakula kwenye ndege Kwenye kiti ulipokaa ni HOTELIER.Ndege zina hotel za kuhudumia wateja kwa chakula.Kile chakula hujui kuwa kinatokea rstaurant ya kwenye ndege? Kujiita hotelier kakosea nini.

AIRHOSTESS akikuletea pombe pale kwenye kiti ulipokaa ujue huyo ni BAR MAID wa kwenye ndege.Tofauti ya bar maid wa uwanja wa fisi na yule wa kwenye ndege ni maeneo yao ya kazi.Yule mwingine ni bar maid angani wakati huyo mwingine ni bar maid uwanja wa fisi.
 
Iwapo haumwelewi wananchi wa Nkenge wanamwelewa sana na wanamfahamu Zaidi yako, au kama unaweza muuliza Balozi dr.kamala d. Atakuwa anamfahamu zaidi.
 
Huyu ni mama mzazi wa wale wadada wa J sisters na inasemekana kuwa ni mlokole huyu
 
Huyu alikuwa mhudumu wa ndege za Serikali, aliwaleta Makoma bila idhini ya Ikulu, akatolewa ndege za Serikali
na kuwekwa benchi Ikulu. Wakati anagombea Ubunge alificha kazi yake ya awali na kujifanya hotelier!

Ni kweli Mama Assumpter Nshunju kipindi chake chote cha ujana alikuwa Muhudumu wa Ndege za serikali,na huko ndiko alikokutana na Mumewe Mr. Mshama ambaye kwa sasa ni Senior VIP bodyguard,siku za karibuni alikuwa Mlinzi na msaidizi wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Mzee John Malecela. Mheshimiwa Mbunge na Mumewe wana watoto Wawili wa Kike wanaosoma Nchini Marekani.

Elimu ya Mama Assumpter haijulikani lakini kuna uwezekano mkubwa akawa ana elimu ya shule ya msingi tu.Kipindi cha ujana wake alikuwa mshiriki wa masuala ya uimbaji kanisani (choir mistress), Akiwa ktk ziara mkoani Kagera Marehemu Mwalimu Nyerere alivutiwa na umahiri wa uimbaji na ucheshi wa Mama huyo.Wasaidizi wa Mwalimu wakamchukua Mama huyo na kumuingiza Usalama wa Taifa huko alianzia junior ranks mpaka akaja kuwa Mhudmu kwenye Ndege ya Rais na baadaye akaja kuwa Mlinzi wa karibu na Msaidizi wa Mama Mwinyi na Mama Mkapa.

Ana NGO ya masuala ya Kanisa na kabla ya kuwa Mbunge alirudi Kagera na kugombea Uenyekiti wa UWT - CCM ambako ndio kulikuwa ngazi ya kupata Ubunge.
 
Hivi unajua maana ya AIR HOSTESS?
Ngoja nikupe tafsri Akikuletea Chakula kwenye ndege Kwenye kiti ulipokaa ni HOTELIER.Ndege zina hotel za kuhudumia wateja kwa chakula.Kile chakula hujui kuwa kinatokea rstaurant ya kwenye ndege? Kujiita hotelier kakosea nini.

AIRHOSTESS akikuletea pombe pale kwenye kiti ulipokaa ujue huyo ni BAR MAID wa kwenye ndege.Tofauti ya bar maid wa uwanja wa fisi na yule wa kwenye ndege ni maeneo yao ya kazi.Yule mwingine ni bar maid angani wakati huyo mwingine ni bar maid uwanja wa fisi.
Ahsante kwa Ufafanuzi mzuri East Africa, kikubwa kwangu ni wapi alikuwa kabla ya Ubunge wa Nkenge enzi hizo akipiga panki la Nguvu!
 
Hakuna upumbavu ulio upombavu mtupu ambao mwenye akili anaweza kushindwa kujifunza kitu. Kwa mwenye akili hakuna kitu kichokuwa na fundisho, kwa mpumbavu hata afundishwe na Profesa hodari namna gani hataambua kitu chochote atatoka patupu.
Kwa kuwa mnalingana kifikra lazima utamwelewa! Kama usingemwelewa ningeshangaa sana ati!!
 
Haa haa, huyu mama hakupaswa kuwepo bungeni bali kwenye kijiwe cha mipasho, ila binafsi nimeupenda huo mwanya katikati ya meno yake weweeee..
Japokuwa huyu mama anajiita mlokole nahisi hata hajui maana ya ulokole inawezekana hata huko jimboni kwake alipita kwa hongo.
 
Jimbo liko wazi kabisa, Nkenge kuna wasomi wa kada zote,mapro,wachumi, wansheria, wakulima wafanya biashara wazuri tu, wasomi wa kati wenye uelewa tu, sijui kwa nini hawajatutendea haki kuleta mbunge kama huyu, chonde chonde mbunge kama huyu hastaiki kuwawakilisha nshomile hadi makerere,,hdi form six ni aibu AIBU AIBU

Ccm walikua wanamkomoa kamara dats y alipata ubunge
 
ASSUMPTER NSHUNJU MSHAMA
1673.jpg

Member of Parliament CV

SalutationHonourable
First Name: Assumpter
Middle Name:Nshunju
Last Name:Mshama
Member Type:Constituency Member
Constituent:Nkenge
Political Party:CCM
Office Location:Box 64, Kyaka. 21494, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 852736/+255 752 131913
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: amshama@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
*************************************************************
Huyu mama nilimsikiliza jana nikashindwa kuelewa alikuwa anasema kitu gani.

Imebidi niingie kwenye wavuti wa bunge na nilichopata ni cv yake ambayo hajui hata alizaliwa lini.

Ofice zake anasema zipo Kyaka, Dar es Salaam, Jamani Kyaka ipo sehemu gani hapa Dar.

Huyu mama ni mtupu ni mtupu kichwani hakuna kitu, nadhani ccm walimtoa mirembe wakamchukua kwa vituko vyake, nawaomba wamrudishe akamalize tiba.

Ni aibu kuwa nami natokea jimbo la Nkenge.... (Naomba mtusamehe)... tulifumba macho akapeleka matofari na michanga akidai anajenga shule, akawahadaa akina mama na SACCOS hewa .... Mkakati uko mekoni mwaka kesho. Kuhusu ULOKOLE nasikia alimporomoshea matusi Padri wa Parokia Ya Bugombe nao wanamsubiri...
 
Huyu mama alivyokuwa akijikanyaga hadi watoto walimwona kituko, kumbe ana matatizo jimboni kwake hadi Kanisani?
 
Japokuwa huyu mama anajiita mlokole nahisi hata hajui maana ya ulokole inawezekana hata huko jimboni kwake alipita kwa hongo.

kwenye kammpeni zao zakura za maoni ya ccm alikia yy na kamara alitoa pombe sana mpaka wapambe wake walikua wanatuogopa sana walijua cc ni takukuru pale mugana krb hospital kwanye grosary ya kenedi.yani tushwa ilikua nje nje
sasaivi wanajuta sana watu wankenge. .!
 
Huyu ni kilaza kupindukia. Watu mnachagua vilaza kam hivi mnajifanya hamjui. Ndio mlikofiika hata umeme hamna
Ukiwepo mnalipa ghali . Waliomchagua Lisu wama akili sana. kwa sasa ndiye mwanasheria mkuu bungeni na Taifa kwa ujumla
 
ASSUMPTER NSHUNJU MSHAMA
1673.jpg

Member of Parliament CV

SalutationHonourable
First Name: Assumpter
Middle Name:Nshunju
Last Name:Mshama
Member Type:
Constituent:Nkenge
Political Party:CCM
Office Location:Box 64, Kyaka. 21494, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 852736/+255 752 131913
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: amshama@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
*************************************************************
Huyu mama nilimsikiliza jana nikashindwa kuelewa alikuwa anasema kitu gani.

Imebidi niingie kwenye wavuti wa bunge na nilichopata ni cv yake ambayo hajui hata alizaliwa lini.

Ofice zake anasema zipo Kyaka, Dar es Salaam, Jamani Kyaka ipo sehemu gani hapa Dar.

Huyu mama ni mtupu ni mtupu kichwani hakuna kitu, nadhani ccm walimtoa mirembe wakamchukua kwa vituko vyake, nawaomba wamrudishe akamalize tiba.

Nilimsikiliza alipokuwa akichangia nikajikuta nashikwa na hasira tupu.
 
huyu mama nikweli hamnazo.ukawa mshughurikieni jimboni kwake nae aombe msaada kama lyatonga mrema alivyo omba msaada.
 
Ni kati ya watu wanofanya bunge kuwa kama gulio. Hata mwanangu wa darasa la saba anajua kujenga hoja kuliko huyu mama. Sijui aliwashawishi vipi hao waliompigia kura.

Huyu HAKUSIMAMA mwenyewe kwenye majukwaa ya kampeni. Alishikwa mkono, yaani wapambe walipiga kampeni muda mrefu (mafiga 3) naye akaongea kidogo sana. Ni kama kule kwa Deo Ntukamazina. muda mwingi wa kampeni alikuwa India kwa matibabu. alikanunua ka kijana fulani kakakampeni, ila ni BOGUS tupu. Sijui wana kagera wanafikiriaga nini wakati wa maamuzi kwenye sanduku la kura! waamushwe!
Hawa bogus kuhu Meru, hawaoni ndani! Mwulizeni Kibajaj......
 
Mtoa mada umekosea kusoma kuhusu ofisi yake (zake). Anuani hapo kaweka mbili. Ya kwanza ni [P O] Box 64, Kyaka. Na ya pili ni [P O Box] 21494, Dar Es Salaam. Makosa ya kiuandishi yatakuwa ni ya mwandishi wa tovuti ya Bunge, ambaye alitakiwa kuandika kwa ufasaha isomeke vizuri.
 
Back
Top Bottom