Mbunge Assumpter N. Mshama

Mbunge Assumpter N. Mshama

Huyu mama ni mweupeee na alipewa jimbo kama shukrani kwa kazi alomfanyia mkulu.unabishaaaaa

Alimuhonga mpinzani akajitoa dakika za mwisho wakati wa uchaguzi.
Anayemtetea alete Cv yake kabla ya kugombea kama amewahi kufanya harakati yoyote ya kisiasa.

Mengine wana Missenye mje hapa muongeze.
wapili ni mama yangu Bernadeta Mshashu kwakweli mama umeshusha hadhi yako bora ungebaki katika ualimu wako tu.

Huyu mama tunatoka kijiji kimoja cha nkanka kijunja lakini familia yao ya nshunju inasifika kwa uchawi, nakumbuka zamani tulikuwa tukipita kwa kwa kukimbia. Huyu hajawahi kujihusisha na mambo ya kisiasa alichokuwa akikifanya nikutembeza rushwa kwa kwenda mbele akisaidiwa na mtu mmoja anaitwa Solomon ila amezoeleka kwa jina la Salumon. Mme wake ni mwenyeji wa dodoma yuko usalama wa taifa ndiye aliyemwingiza kwenye system
 
Acheni maneno yenu, huyu mama kaenda shule kweli.
Kama mnabisha peruzi CV yake hapa chini.....

Mshama CV.jpg
 
Back
Top Bottom