haaaaa, haaaa , Swala la vibao ngumi inaonyesha ni jinsi gani watu bado hawajakuwa kiakiri sambamba na kutojieshimu. Tunapofanya hivi watoto wetu tunawafundisha nini?. Na kama ingekuwa ni mwanaume ndio kamnasa mwanamke kibao watu na mataifa kwa ujumla wangeliangaliaje swala hili. Cha msingi sio kupigana hata kidogo naomba mungu asitufikishe hapo katika nnchi yetu. Kama watu wanafanya upumbafu bongeni swala ni dogo tuu ni kuwasusia bunge waendeshe wao naimani hata wananchi watasusa kwa ujumla wao. hii inaitwa political strict. Naimani hata wao wataona aibu kuingia bungeni watajificha kwa majuto hali itayopelekea wajirekebishe