Mbunge anaswa kibao na mbunge mwenzake mwanamama!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,264
23,198
Mbunge moja mwanamama kamnasa kibao mbunge mwenzake kwa dai la kila mara kuongea utumbo bungeni. Hilo limetokea huko Argentina kwa mbunge moja mwanamama kuchoshwa na tabia ya mbunge mwenzake wa kiume kuongea upuuzi bungeni kwa mwaka mzima. Je hii yaweza kutokea hapa kwetu ? Bonyeza hapa chini !

 
Last edited by a moderator:
itatokea tanzania pia,nadhani akina mnyika watamnasa mtu vibaya mno
 
dah....I wish ingekuwa hapa kwetu.....like it....
Me too.....ila wako wapi hao...wengi wao ni wakubebwa tu.....hivyo hawawezi kujiamini hivyo......................
 
haaaaa, haaaa , Swala la vibao ngumi inaonyesha ni jinsi gani watu bado hawajakuwa kiakiri sambamba na kutojieshimu. Tunapofanya hivi watoto wetu tunawafundisha nini?. Na kama ingekuwa ni mwanaume ndio kamnasa mwanamke kibao watu na mataifa kwa ujumla wangeliangaliaje swala hili. Cha msingi sio kupigana hata kidogo naomba mungu asitufikishe hapo katika nnchi yetu. Kama watu wanafanya upumbafu bongeni swala ni dogo tuu ni kuwasusia bunge waendeshe wao naimani hata wananchi watasusa kwa ujumla wao. hii inaitwa political strict. Naimani hata wao wataona aibu kuingia bungeni watajificha kwa majuto hali itayopelekea wajirekebishe
 
Bado sijashawishika kufurahia huyu bwana kupigwa kibao. Isije kuwa jamaa yuko upande wa walalahoi na Mama upande wa Mafisadi.. Nisingefurahi kusikia eti Zakhia Meghji alimchapa kibao Dr. Silaa halafu tushangilie eti mwanamama amemchapa mtu kibao.. Sababu hasa ya huyo Bwana kupigwa kibao ni kutetea hoja gani?? Wataalamu wa ki-spanyola tusaidieni tafsiri.
 
wa2 kupigana bungeni ki2 cha kawaida kwa wa2 wanaopenda nchi zao na wanaopigania maslai ya taifa indonesia ni kawaida kenya pia walishatwangana.inauma pale unapopigania ukweli m2 anafanya hoja yako mzaha.kama sisiem walivyoshangilia kutofuatwa kwa katiba na kumzawadia simba nafasi sadc kama mdee angemtanga makofi makamu wa spika ingekuwa mbaya?
 
Kuna watu kama akina Masilingi, vibao kama hivi ndio vinatakiwa kwao...! Sijawahi kusikia akiogea point yule baba...!
 
Mimi sio kibao tu, tamtandika ngumi ya jicho mum """ Chwi Chwi chwiiii " na yule jamaa wale wa mwanza wanajua "hutumia kuwasha ili kumulikia nyjumba kwa kuwa hawana umeme majumbani" wala vijisenti vya kununulia mafuta ya taa.

Hawa ndio wa kutandikwa ngumi kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom