Mbunge aliyevaa herini afukuzwa bungeni Kenya

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
47
Mbunge mmoja nchini Kenya amefukuzwa nje ya bunge kwa kuvaa mavazi yasiyo na heshima.


Mbunge huyo wa jimbo moja mjini Nairobi,Gidion Mbuvi,alifukuzwa kwenye kikao cha jana kwa kuvaa miwani ya jua na herini ndogo za mawe yenye thamani.
Naibu spika wa bunge, Farah Maalim, alisema namna bwana Mbuvi alivovaa haionyeshi heshima kwa bunge,ambalo halijawahi kuwa na mbunge mwanamume aliyevaa hereni.

Naibu spika wa bunge alishtumiwa na wafuasi wa Mbuvi kwa kukosa uvumilivu.
Mbuvi anajulikana kama Sonko -- jina ambalo kwa lugha ya mtaani linamaanisha mtu tajiri anayeishi maisha ya kifahari.

BBC
 
madai yake eti anawakilisha vijana na hiyo big g ilivyokuwa inatafunwa mie hoi!!!
 
anashtumiwa kuwa dealer wa mihadarati, badala ya kujishughuliaha na ishu mihimu yeye anashabikia tu side shows. Lakini anapigania vijana wake wa Makadara sana
 
Kenya: MP Gidion Mbuvi's ejected for earrings

_51482362_011418734-1.jpg


A Kenyan lawmaker has been kicked out of parliament for wearing ear studs adorned with precious stones.

Gidion Mbuvi, who also had sunglasses, was excluded from a session after other MPs decided that the way he dressed offended the dignity of the assembly.

Deputy Speaker Farah Maalim said the house had never before been entered by a male lawmaker wearing earrings.

But supporters of the 35-year-old Mr Mbuvi, who is nicknamed "rich man", accused Mr Maalim of intolerance.

'Way of life'
Mr Mbuvi, who represents Nairobi, caused an uproar when he walked into the parliament building on Tuesday.

"The dress or the manner in which the honourable (MP) is dressed today does not depict, in the eyes and the opinion and the conscience of the chair, the dignity of this house and that of an honourable member," Mr Maalim was quoted as saying by the AFP news agency.

"Never in the history of this house... have I seen a situation in which a member of parliament, who is a male, come in with earrings or some stuff in the ears or whatever you may want to call it," the deputy speaker said.

But supporters of the lawmaker popularly known as Sonko - a Swahili term describing a rich and flamboyant person - argued Mr Maalim just showed his intolerance.

"The way of life of a Sonko is one who dresses well, by putting on stunners, studs, sports and well-lined suits, and that is what you are witnessing here today," one MP said.

Mr Mbuvi was elected to parliament last year.

BBC News - Kenya: MP Gidion Mbuvi's ejected for earrings
 
Mamno ya bling bling mpaka bungeni...Komeni kuiga vitu si vyenu
 
kuna huyu wa UJerumani alietolewa sababu hana tai

A leftwing member of the German parliament who was disciplined for refusing to wear a tie defended himself today by arguing that most of his constituents did not wear ties either.


Andrej Hunko, an MP for the Left party, and Sven-Christian Kindler, a Green party MP, were relieved of their duties as recording secretaries after they ignored demands from parliamentary leaders to wear ties while sitting on the president's dais.


"I'm a freely elected representative and don't represent the Bundestag," Hunko – who wore a blazer – told German radio. "It's an expression of hierarchy. I don't want to isolate myself from my voters. Most of them don't wear a neck tie either."
MPs are not required to wear ties in parliament, but they are obliged to wear them when they sit on the president's dais in front of parliament, where they can be seen on television.


The controversy escalated yesterday when another Left party MP , Alexander Suessmair, who had been assigned to replace Hunko, strode to his post as a recording secretary without a tie.


Suessmaier was quickly removed from the position next to the president of the parliament, Norbert Lammert. He was replaced by a Left party colleague, Agnes Alpers, who wore a blazer with a red tie.


The sartorial debate started in December when the secretaries' chairman, Jens Koeppen, of chancellor Angela Merkel's conservative Christian Democrats, sent a letter to deputies requiring men to wear a tie and jacket.
Source-guardian
 
kama anapenda hereni angvaa za wamasai ,akavaa kimasai kabisa labda ningemtetea kuwa ni wazo zuri kuingiza vazi laasili la kiafrika bungeni
 
Mbunge wa kizazi kipya. Huo ndio mtindo wa bungefleva, ha ha ha ha! Kwa mtaji huu hajakosea:)
 
Ingawaje ninajihesabu mtu mwenye uvumilivu na kushikamana na haki za binadamu, lakini hili kwa mtu kama yeye, mtunga sheria alipaswa kuwa kioo cha tabia nzuri kwa vijana. Pengine mawazo yangu yametokana na sipendelei kuona vijana wanavaa herini.
 
Ingawaje ninajihesabu mtu mwenye uvumilivu na kushikamana na haki za binadamu, lakini hili kwa mtu kama yeye, mtunga sheria alipaswa kuwa kioo cha tabia nzuri kwa vijana. Pengine mawazo yangu yametokana na sipendelei kuona vijana wanavaa herini.

Huyu dogo ni mbung wa makandara ana vituko kupita kiasi na kana pesa za kumwaga juzi hapa kalitajwa kuwa youko kwenye hii group ya big narc kataika east africa wote wanmfanyia mdosi mmoja wa Msa Ali Punjani naye ni kama Rostam
 
Ingawaje ninajihesabu mtu mwenye uvumilivu na kushikamana na haki za binadamu, lakini hili kwa mtu kama yeye, mtunga sheria alipaswa kuwa kioo cha tabia nzuri kwa vijana. Pengine mawazo yangu yametokana na sipendelei kuona vijana wanavaa herini.

uko sawa kabisa, huyu mtu yuko na status ya juu hivyo anatakiwa kujiheshimu sana.

Anaweza akavaa hayo mavazi yake wakati akiwa nje ya mjengo, mbona mda ni mwingi tu anakuwa nje ??
 
Huyu dogo ni mbung wa makandara ana vituko kupita kiasi na kana pesa za kumwaga juzi hapa kalitajwa kuwa youko kwenye hii group ya big narc kataika east africa wote wanmfanyia mdosi mmoja wa Msa Ali Punjani naye ni kama Rostam
hata awe na pesa heshima bado inahitajika tu, wapo akina Warffet an Gates mbona hawana usanii??
Pesa si sababu bali sababu ni yeye mwenyewe
 
Ni mbuvi mkao, huyu dogo anavituko dunia nzima, well sometimes morality is subjective but as 4 this i think si utaratibu wa mabunge hasa ya africa kuvumilia haya mambo. I think the speaker was right!
 
Na mapete yake alikuwa akiyatoa wakati tayari kashafukuzwa huyo ndo Sonko bana inakuwa kama siku ile anatolewa mahakamani palikuwa hapatoshi Jam ilikuwa ya kufa mtu kuanzia Ngong road kuja mpaka yaya kulikuwa hakufai.
 
Its OK kufukuzwa bungeni kama dressing code inakataza kuvaa hereni la sivyo ni kumwonea tuu na kuonyesha jinsi tusivyoheshimu differences btn ourselves na kujidai eti kuvaa hereni ni kuiga culture za watu is just nonsense kwani hizo suit,viatu,tie,saa etc vyote si tumeletewa na hao western? sioni debate hapa zaidi ya kuangalia dressing code inasemaje.
 
Back
Top Bottom