Kikao cha bunge kikiisha na yeye kumaliza kuchapa usingizi anakinga mkono alipwe "Posho ya kuchapa usingizi bungeni" Wabunge wa CCM ni hovyo kabisa!!!! Wanatia hasara tu nchi yetu wanachokifanya hata hakieleweki.
Katiba ya Chama cha mafisadi itakayowahakikishia kuendelea kuwepo madarakani milele itapatikana ndiyo maana wanachapa usingizi kama kazi, lakini katiba ambayo Watanzania wengi tunataitaka ya kuweza kulinda maslahi ya Tanzania na Watanzania, kupunguza nguvu kubwa alizokabidhiwa Rais, kulipa bunge letu nguvu kubwa ikiwemo kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais kama utendaji wake hauridhishi, kuhakikisha kuwa tuna tume huru ya uchaguzi na siyo hii tuliyonayo tume ya magamba n.k. haitapatikana kamwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.