Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,370
314491_188992757853745_100002290673535_433680_184633268_n.jpg
 
huyo ni salome,mbuge wa iramba mashariki......mbuge wa magamba
 
Hakuna kamati ya nidhamu?huku kwa kweli ni kukosa nidhamu!!imeniuma kwa sababu anachezea pesa ya mlipa kodi
 
Halafu tunategemea watutungie katiba shame on them.
 
Nyie matatizo ya dunia yamemsonga na yeye binadamu au inaweza kuwa raha na starehe za dunia pia,
 
Na akistuka tu anapiga makofi, ndo walewale wanaolala busy wakirudisha gharama za uchaguzi!
 
Lazima ni Gamba hilo, plus Viti Maalum.
 
hivi hawa wanakuwaga wanafanya nini usiku au karibu na asubuhi?lazima kuna kitu wanafnya ndo maana wanalala sana
 
Back
Top Bottom