Mbunge ailipua Mohamed Enterprises Bungeni

Mr,Macho hayo majina mfikishie Mzee Magu aone na ajue hawa wahind na waarabu waliopewa uraia hapa nchin wanekuwa kikwazo kwa uchumi wa Tanzania,hawa jamaa ukiajiriwa kwene makapun yao hakika ni Kwa sababu tu ya ugum wa Maisha na hakuna ajira Tanzania lkn hawa jamaa ni wanyonyaji Sana kwa wazawa Ila wao wanalipana mishahara mizur Sana nenda pale jet lumo kuna kiwanda cha Murzah ndan yake kuna viwanda Zaid ya vinne xjui kama serikali inalijua Hilo au wakienda wakaguz wanapewa mlungula ili waseme kuna kiwanda kimoja! Hayo majina apelekewe Magu aone uozo wa hawa watu Bora uajiliwe Kwa mzungu lkn sio Kwa hawa manyang'au!
Mkuu uliingia ndani ukaviona au umepewa umbea tu.Angalia tusiharibiane ajira aisee
 
Mr,Macho hayo majina mfikishie Mzee Magu aone na ajue hawa wahind na waarabu waliopewa uraia hapa nchin wanekuwa kikwazo kwa uchumi wa Tanzania,hawa jamaa ukiajiriwa kwene makapun yao hakika ni Kwa sababu tu ya ugum wa Maisha na hakuna ajira Tanzania lkn hawa jamaa ni wanyonyaji Sana kwa wazawa Ila wao wanalipana mishahara mizur Sana nenda pale jet lumo kuna kiwanda cha Murzah ndan yake kuna viwanda Zaid ya vinne xjui kama serikali inalijua Hilo au wakienda wakaguz wanapewa mlungula ili waseme kuna kiwanda kimoja! Hayo majina apelekewe Magu aone uozo wa hawa watu Bora uajiliwe Kwa mzungu lkn sio Kwa hawa manyang'au!
Majina itakuwa yalishapelekwa kama ulivyoomba mkuu.😀
JF raha sana kwakweli.
 
Hata kama anamakosa......

#nyerereday2018
#bethelegacy
#bringbackourMO

Akipatikana mkamshitaki!
 
Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
Mbutaa!
 
Salaam kutoka Dodoma,

Nimeamua kuileta habari hii humu JF kwani vyombo vyote vya habari Tanzania viko mfukoni mwa Gullam Dewji, mwenyekiti wa Mohamed Enterprises, pamoja na mtoto wake, Mbunge Mohamed Dewji. Kwa masikitiko makubwa sana, najua nikiipeleka habari hii newsroom kwetu Mhariri Mtendaji wetu haiwezi kuitoa habari hii. Sijui na humu JF hii post haitaondolewa?
Umetimiza jukumu lako kama mwandishi la kutuhabarisha halafu sisi tuamue. Mbunge alipaswa kutambua kwamba lengo la wafanya biashara ni kutengeneza,faida. Tatizo ni serikali kutokuweka masharti pamoja na wakulima walokubali kuuza mazao kwa bei ya chini. Au ndo kampuni imewalazimisha?
 
Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
U nabii mzee hakika siku isiyojulikana imefika baadhi yao na watu wasiojulikana wanafanya kazi nzuri..! Hongera kwa mhusika..
 
METL chini ya Mohamed Dewji siwapendi kabisa ni hatari kuliko hata mapacha 3,wamenunua kwa bei chee mahekta ya mashamba ya mkonge Tanga kwa kisingizio watayaendeleza na kukuza ajira badala yake hati zake wametumia kuomba mabilioni ya mkopo kutoka benki za nje na kujinufaisha wenyewe huu ni aina ya unyonyaji haifai kuwachekea kwa vileee.
Bora aisei..! No long at easy..!
 
Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
Siku imeshafika?
 
Kumbe na yeye ni wale wezi wanaosakwa kila kona ambao ni vigogo wa ccm kama sami na Zakaria
 
dewiji ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi na demokrasia mkoani singida, naamini ndiye amewafanya wanyaturu pale singida wameanza kuwa kama omba omba vile, wanasubiri akija dewiji anagawa hela za bure, anamtumia mazala kugawa hizo hela, kwa kuwa tunakubaliana mfanyabiashara hutafuta faida mara zote, fedha anazozigawa dewiji anatumia kanuni ipi ya biashara. akishidwa kufanya kama rostam, basi awajibishwe!!!!!!
Oneni mlivyo wanafiki vijana nyie
 
kwanini kuuleta uzi huu wa 2011 leo 2018? unataka kuunganisha nini? Nadhani ni uchochezi au kosa la kimtandao? Nifahamishwe tu
 
Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
Alaaa kumbee...interesting..hivi huyu sumaiya bado yupo nchini kweli?
 
Back
Top Bottom