Mbona wanasema ndio kwao naye ni mnyaturu damu aisee !!MO anawadanganya sana watu wa singida...hana uchungu nao hata kidogo kwani kachukua ubunge ili kurahisisha mambo yake.
Wanasiasa malaya ndiyo kansa hapa nchiniWametumwa kwa kazi maalum
Ni hasara kubwa sana kwa taifa kuwa na vijana wa namna hii. Watanzania huwa hawasahaugi aisee.....Yani wanakuchekiii unafanya mambo yako, halafu siku ya siku wakikugeuka hutaamini kabisaa.Wow! This is diabolical. Halafu tumeaminishwa siku zote hizi kwamba 'he is an angel', a blessed man. Bongo ni kiboko! Hii nchi bana ni kama mfupa uliomshinda fisi.
Dah!Mkuu kusema imeletwa leo haina maana kwamba ni fresh,it only means it is re-emeging now.Umehamisha goli. Ulisema "Kwanini tuletewe leo?" Haikuletwa leo. Nikakujulisha kwamba ni kaburi, sasa ndo umeelewa, unataka kusema kuwa uliniuliza kwanini nafukua kaburi. Hukuuliza hivyo, uliuliza kwanini imeletwa leo.
Hiyo comment niliandika mwaka 2011. Rostam aliwahi kukimbia...bado wawili
rostam na huyo mwenzake
Yeye kama mfanya biashara hawezi kuingia kwenye biashara ya hasara. Moja ya vitu vinavyoturudisha nyuma nchi hii ni kuwalaumu waliofanikiwa kwa matatizo yetu. Mheshimiwa mbunge alitakiwa achangamkie fursa ya soko la agoa kuliko kumtupia lawama Metel. Mfano sasa hivi tuna viwanda vingi vya juice na bei wanazonunua matunda ni ndogo mno, hatuwezi kuwalaumu kwa kununua matunda yetu kwa bei ndogo wakati wamejenga viwanda vyao ili wapate faida.Wow! This is diabolical. Halafu tumeaminishwa siku zote hizi kwamba 'he is an angel', a blessed man. Bongo ni kiboko! Hii nchi bana ni kama mfupa uliomshinda fisi.
Nafarijika kuona koment yako mkuuNi hasara kubwa sana kwa taifa kuwa na vijana wa namna hii. Watanzania huwa hawasahaugi aisee.....Yani wanakuchekiii unafanya mambo yako, halafu siku ya siku wakikugeuka hutaamini kabisaa.
Mkuu reference yako naona imetiwa kufuli. uzi haufunguki!! moderators nadhani wana majibu...sidhani kama wame'umyuti' bila kujua
Mkuu wetu hapa JF, Paskali, anasema'ga' kuwa hapa duniani kuna kitu kinaitwa 'karma'...na inasemekana ...hii kitu iliasisiwa huko India. Sijajua kama karma inatumika kwa binadamu wote hapa duniani ama ni watu maalumu kutoka sehemu maalumu.Mm,there is something unusual here.
Siku yao ipo karibuniTanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
Dah ndo hivo mkuu malipo ni hapahapa dunianiMETL chini ya Mohamed Dewji siwapendi kabisa ni hatari kuliko hata mapacha 3,wamenunua kwa bei chee mahekta ya mashamba ya mkonge Tanga kwa kisingizio watayaendeleza na kukuza ajira badala yake hati zake wametumia kuomba mabilioni ya mkopo kutoka benki za nje na kujinufaisha wenyewe huu ni aina ya unyonyaji haifai kuwachekea kwa vileee.
SureHawana muda mrefu sana...!!!
Nakubaliana nawe mkuu. Hawa watu ndio maana Idd Amin aliwakataa.Mr,Macho hayo majina mfikishie Mzee Magu aone na ajue hawa wahind na waarabu waliopewa uraia hapa nchin wanekuwa kikwazo kwa uchumi wa Tanzania,hawa jamaa ukiajiriwa kwene makapun yao hakika ni Kwa sababu tu ya ugum wa Maisha na hakuna ajira Tanzania lkn hawa jamaa ni wanyonyaji Sana kwa wazawa Ila wao wanalipana mishahara mizur Sana nenda pale jet lumo kuna kiwanda cha Murzah ndan yake kuna viwanda Zaid ya vinne xjui kama serikali inalijua Hilo au wakienda wakaguz wanapewa mlungula ili waseme kuna kiwanda kimoja! Hayo majina apelekewe Magu aone uozo wa hawa watu Bora uajiliwe Kwa mzungu lkn sio Kwa hawa manyang'au!
Tunaipenda pepo ila hatutaki kufa.Hahahahahaha........
Wewe jamaaa bwana.
Huu ndiyo Umalaya wenyewe sasa.
Kwahiyo dawa yao ni kuwateka, ona jinsi wasiojulikana wanavyoanza kujitokeza.Siku yao ipo karibuni