Mbunge ailipua Mohamed Enterprises Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge ailipua Mohamed Enterprises Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Informer, Jun 28, 2011.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam kutoka Dodoma,

  Nimeamua kuileta habari hii humu JF kwani vyombo vyote vya habari Tanzania viko mfukoni mwa Gullam Dewji, mwenyekiti wa Mohamed Enterprises, pamoja na mtoto wake, Mbunge Mohamed Dewji. Kwa masikitiko makubwa sana, najua nikiipeleka habari hii newsroom kwetu Mhariri Mtendaji wetu haiwezi kuitoa habari hii. Sijui na humu JF hii post haitaondolewa?

   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Kwani kalazimisha kuuziwa, serikali ndiyo inayoleta umaskini kwa kuua vyama vya ushirika halafu lawama mnamtupia mwingine. Dewji ni mfanyabiashara na ili ufanikiwe unahitaji faida regardless inatoka wapi, kwanza nadhani wakulima wanashukuru Dewji ananunua otherwise ingewaozea, au bunge lina uwezo wa kununua?
   
 3. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zingine nazo, ndio maana ingeenda kwa wahariri wa magazeti hata waingeichapisha. Kwani hao wabunge wanawasaidia nini Watanzania kama sio kukalia Posho tangu miaka hamsini ya uhuru hakuna hata kumthamini Mkulima na kumtengenezea Ushirika ulio na uhakika kwa mazao yake. Bali wachache ndio huwa wanafaidi. Bora hata ya MO anawasaidia kununua hayo mazao.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  MO anawadanganya sana watu wa singida...hana uchungu nao hata kidogo kwani kachukua ubunge ili kurahisisha mambo yake.
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Juzi kati hapa niliona kwenye blogs kuwa jamaa ametoa posho kwa waalimu wa primary jimboni kwake,elfu 50 kila mmoja,nikazidisha nikapata aligawa kama 40m hivi!unadhan hizo atazirudishajw?f
   
 6. W

  Warofo Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtu yoyote anayefuatilia kwa karibu siasa za Tanzania anajua kuwa Mohamed Enterprises ni mafia mkubwa sana hapa nchini. Hivi sasa Mohamed Enterprises wanapambana na Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, kuhusu pesa za deni la Libya. Membe juzi tu ametoa press release kuilaani Mohamed Enterprises kwa kutaka kufanya ufisadi kama wa EPA kwenye deni hilo lakini hakuna hata gazeti moja la Tanzania liliandika habari ya Membe.

  Historia ya vita hiyo iliandikwa na The Guardian Januari 2011 lakini habari hiyo imepigwa STOP isitoke tena....


  MeTL in wrangle with Libyan agent over debt buying pact

  24th January 2011

  The controversy involving payments of USD20m owed to the Libyan government has taken a new twist following discovery of a promissory note, offering USD 2m to the country's agent, Massoud Mohamed Nasser, to have Mohamed Enterprises (Tanzania) Limited MeTL) given favour in buying debt agreement involving the money.

  MeTL had promised to pay the said USD2m to Nasser also known as Massoud Mohamed Massoud if he was to complete debt buying agreement dated September 15, 2004.

  The money held at the Tanzania Investment Bank (TIB) is part of USD121.9m debt owed by Tanzania in respect of crude oil supplied by the government of Libya in 1993.

  Such money has been a subject matter in the two cases filed by MeTL in the High Court of Tanzania, namely Civic Case No.110 of 2010 pending before Justice Prof Juma and Civil Case No 127 of 2009 pending before Justice Mwarija.

  In the former case, MeTL is suing Libya while in the latter the defendant is Massoud Mohamed Nasser.

  Court documents show that Nasser represented the Libyan government in the negotiations in which MeTL was to buy the USD20m debt at eight million dollars and signed the promissory note on September 15, 2004 for two million US dollars for the agent to complete the agreement.

  Legal experts, however, question how MeTL could offer two million US dollars to the agent of the government of Libya, the owner of the debt, while it was paying lawful consideration of eight million US dollars to buy the debt.

  MeTL, the buyer, signed the debt buying agreement involving the money in question with the Libyan government, the seller, on September 15, 2004 with a view to invest the sum in the agriculture sector in Tanzania.

  The government of Libya had allegedly appointed Nasser as its agent to sign the agreement.

  Nasser arrived in Tanzania in 2004 and approached the company to use its good offices to facilitate negotiations with Tanzania for the liquidation of the debt.

  Following the negotiations, the two governments reached a debt swap agreement for payment of USD40m by immediately issuing treasury bonds.

  Five bonds for a five year term worth USD20m and another five bonds for a two year term worth USD 20m.

  The said agreements were in the power and possession of the government of Libya.

  The two-year bonds were subject to a stipulation made by the government of Tanzania that the proceeds of the bonds would be utilized for investment in Tanzania.

  The interest on these bonds was encashable through the TIB account number 004-200-0002216-01 while the five bonds were encashable through the National Bank of Commerce Corporate Branch account number 011103026411.

  Documents reveal further that MeTL was interested to acquire one of the bonds for investments in the agriculture sector. The company and Nasser negotiated the sale of the bonds and it accepted to offer eight million US dollars for sale of the US dollars 20m and signed promissory note for US dollars two million for Nasser to complete the buying agreement.

  However, the Libyan government failed to fulfil the terms of the buying agreement. It was at such point when MeTL decided to institute a suit against the Libyan government, demanding among others 10m USD for breach of contract and 2.5m USD being loss of profit from the investment of the 10m USD in its agriculture industry.

  MeTL also filed another suit against Nasser with similar prayers, holding him personally liable for the loss as he breached the warranty and undertaking as he did not have the authority of the Libyan government to enter the buying agreement nor did he have the authority, competence and ability to have the agreement fulfilled and completed.

  Nasser later on came to Dar es Salaam and called on the MeTL , offering to settle the matter by giving a share from the interest being paid into his account at NBC which was accruing at 4,551,440,000/-, which bond had been given to him for his commission by the government of Libya.

  However, the company declined the offer of settlement on grounds that it was entitled to a higher amount and on different grounds, other than those proposed by Nasser since he was in breach of the original agreement as he failed to make sure that the company was given money for investment in its agriculture sector.

  Home
   
 7. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
  1. Roztam aziz
  2. Yususf Manji
  3. Mohamed enterprises
  4. Tania Somaia.
  Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
   
 8. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 530
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  METL chini ya Mohamed Dewji siwapendi kabisa ni hatari kuliko hata mapacha 3,wamenunua kwa bei chee mahekta ya mashamba ya mkonge Tanga kwa kisingizio watayaendeleza na kukuza ajira badala yake hati zake wametumia kuomba mabilioni ya mkopo kutoka benki za nje na kujinufaisha wenyewe huu ni aina ya unyonyaji haifai kuwachekea kwa vileee.
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa wanaipa CCM pesa kibao na ndiyo maana hawaguswi hata . Siamini kama hawa wamesha mnunua Mbowe au Slaa au Zitto au Mnyika na wengineo akina Mdee . Hawa wamewanunua CCM na vyombo vyake vya serikali .
   
 10. Jigsaw

  Jigsaw JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,817
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hawana muda mrefu sana...!!!
   
 11. S

  Sokoine Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mohamed Enterprises ni kampuni hatari sana Tanzania. Ni hatari kama kina Rostam Aziz, Yusuf Manji na Tanil Somaiya. Lakini wanajua sana kucheza na media kila siku kuzuia habari zao zisiandikwe. Wahariri wakuu wa vyombo vya habari vya serikali na binafsi kila mwezi wanakwenda makao makuu ya Mohamed Enterprises pale PPF Towers jijini Dar es Salaam kuchukua bahasha zao za rushwa ili waendelee kulinda umafia wa kampuni hii ya kijasusi.

  Tujikumbushe na thread hii ya 2010 kuhusu Mohamed Enterprises:

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/87764-mnakumbuka-kashfa-hii-2.html
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni mlolongo uleule wa viongozi waliokosa weledi.............
   
 13. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Anyway simtetei Dewji lakini nadhani huyo mbunge inadidi alaumu chnazo cha tatizo. Kama Soko la AGOA linatoa bei nzuri na dwji ananunua wa bei chee kwa nini wasijitokeze wengine wa kunua kwa bei nzuri alafu wakauze AGOA?????!!!!!!!

  Kuhusu kenya mbunge angetafuta data na mchangamanuo ni bidhaa gani Kenya imeuza AGOA na ni zipi Tanania imeuza AGOA . Huyo mbunge atashanga kuwa Kenya Inauza hata Finished product na sio Raw material tu . Sisi tanzania bado asilimia kubwa ya tunachouza ni Raw materials.
   
 14. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi hii iliisha jana. Jaji alitumia muda usiozidi dakika 10 kutoa maamuzi ambayo yameiumiza saaana familia ya akina Dewji. Sasa wanakabiliwa na kesi ya jinai ya kuiba fedha za Umma. Tusubiri tu, wamechokoza pabaya sana sasa hivi.
   
 15. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu bwana anayeitwa Masoud Nasser ambaye imedaiwa kuwa amepewa mamlaka na Serikali ya Libya kusimamia deni la chi hiyo hapa Tanzania, wiki iliyipita alikana kwa kiapo alichokitoa mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu kwa usimamizi wa Wakili Majura. Katika kiapo hicho hich Bwana Masoud anakana kabisa kupewa mamlaka hayo toka Serikali ya Libya. Aliendelea kuapa kwa kusema kuwa documents alizo saini ni batili na alifanya hivyo kwa KULAZIMISHWA na akina Dewji ambao walimtishia kuwa asipofanya hivyo maisha yake yatakuwa hatarini.
   
 16. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hizi kampuni zimewakamata sawasawa viongozi wakubwa wa nchi hii kiasi kwamba hawaoni sababu yoyote ya kuhoji kinachoendelea ndani ya kampuni hizo. Kampuni hizi zikae zikijua watanzania wanaona jinsi rasilimali zao zikihujumiwa na kutoa viji-misaada visivyo na kichwa wala miguu. Iko siku kitaeleweka.
   
 17. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wezi wakubwa, ni misaada gani wanaoitoa? Sasa hivi wameingia ktk mgogoro na Bernard Membe, inaonekana hawamjui "Chinga" huyu, atawakomesha kweli kweli, tusubiri tuone mchezo utakavyokuwa unachezwa.
   
 18. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hv mtu kama Mo na utajiri wote alionao bungeni amefuata nini?hv kweli ana njaa ya kukimbilia siasa?au kuna kitu anatafuta.
   
 19. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ubunge ni njia rahisi ya yeye kuingia ofisi za serikali na kutoa rushwa bila watu kushituka
  ukimuona na waziri unadhani anawakilisha jimbo kumbe ndio kitu na box
  mwizi tu yule
   
 20. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Who is to blame? The farmers/sellers or buyers?
   
Loading...