Mohamed Enterprises ni kampuni hatari sana Tanzania. Ni hatari kama kina Rostam Aziz, Yusuf Manji na Tanil Somaiya. ..............
maeneo ya Las Vegas.............tunawaita............ "High Rollers"
Mohamed Enterprises ni kampuni hatari sana Tanzania. Ni hatari kama kina Rostam Aziz, Yusuf Manji na Tanil Somaiya. ..............
Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
Kwani kalazimisha kuuziwa, serikali ndiyo inayoleta umaskini kwa kuua vyama vya ushirika halafu lawama mnamtupia mwingine. Dewji ni mfanyabiashara na ili ufanikiwe unahitaji faida regardless inatoka wapi, kwanza nadhani wakulima wanashukuru Dewji ananunua otherwise ingewaozea, au bunge lina uwezo wa kununua?
Salaam kutoka Dodoma,
Nimeamua kuileta habari hii humu JF kwani vyombo vyote vya habari Tanzania viko mfukoni mwa Gullam Dewji, mwenyekiti wa Mohamed Enterprises, pamoja na mtoto wake, Mbunge Mohamed Dewji. Kwa masikitiko makubwa sana, najua nikiipeleka habari hii newsroom kwetu Mhariri Mtendaji wetu haiwezi kuitoa habari hii. Sijui na humu JF hii post haitaondolewa?
Mimi naona huyo mbunge ana hoja ya msingi ila ameshindwa kuainisha kiini cha matatizo. Malengo ya mfanyabiashara yoyote ni kupata faida kubwa kadri inavyowezekana (maximize profit). Mfanyabiashara hawezi kubadili malengo hayo kwa sababu tu amefanikiwa kununua uwakilishi wa wananchi na kuitwa "Mheshimiwa Mbunge". Kimsingi wananunua uwakilishi ili kufanikisha malengo yao ya kibiashara ya kupata faida kubwa kadri inavyowezekana huku wakilindwa na nguzo mojawapo ya dola.
Kwa hiyo wanachofanya Mohamed Enterprises ni sahihi kabisa kwa mujibu wa sheria na malengo yao ya kibiahsara hasa ukizingatia kuwa hawajawahi kuwashurutisha hao wakulima ili wauze mazao yao kwa bei chee. Sijawahi kusikia wakulima wameuza mazao huku wakiwa wamewekewa bastola vichwani. Na hata kama wangeuza AGOA badala ya India bado faida ingekwenda kwa Kampuni na siyo kwa Mkulima.
Suala la msingi hapa la kujiuliza ni je serikali imeandaa utaratibu gani kuwalinda wakulima wadogo hawa ili wasihujumiwe na wafanyabiashara (sio Mohamed Enterprise peke yake) wenye malengo ya kupata faida kubwa? Wote tunajua kuwa vyama vya ushirika ni vichaka vya wezi na uwepo wa wafanyabiashara umewasaidia kwa kiasi kikubwa wakulima walau kupata sehemu ya kuuza mazao yao. Hivyo badala ya kumlaumu mfanyabiashara huyu mwakilishi angemshukuru kwa kutoa soko la korosho za wakulima. Kwani vinginevyo hayo mazao yao yangeishia kuharibikia shambani tu.
MO anawadanganya sana watu wa singida...hana uchungu nao hata kidogo kwani kachukua ubunge ili kurahisisha mambo yake.
Who is to blame? The farmers/sellers or buyers?
Hiyo kenya wanayojilinganisha nayo wamevuka mipaka mingi sasa wakitaka kuiga kutoka kenya wasiige kuuza bidhaa tu nje, aige na katiba mpya maana kama siasa ni chafu hakuna biashara itafanyika safi ndani nchni!
dewiji ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi na demokrasia mkoani singida, naamini ndiye amewafanya wanyaturu pale singida wameanza kuwa kama omba omba vile, wanasubiri akija dewiji anagawa hela za bure, anamtumia mazala kugawa hizo hela, kwa kuwa tunakubaliana mfanyabiashara hutafuta faida mara zote, fedha anazozigawa dewiji anatumia kanuni ipi ya biashara. akishidwa kufanya kama rostam, basi awajibishwe!!!!!!Na huyu sasa inabidi afuate nyayo kama tulivyo kwisha muombea...!!
Mafia tena?Duuh! Ama kweli makaburi "yana raha zake"Mtu yoyote anayefuatilia kwa karibu siasa za Tanzania anajua kuwa Mohamed Enterprises ni mafia mkubwa sana hapa nchini.
Makaburi yafukuliwa jfMafia tena?Duuh!
Halijaletwa, ni kaburi limefukuliwa mkuu. We mgeni humu?Bandiko hili ni la 2011,kwa nini tuletewe tena leo???Hatuwaelewi!!!!