Mbunge ailipua Mohamed Enterprises Bungeni

Mbunge ailipua Mohamed Enterprises Bungeni

Halijaletwa, ni kaburi limefukuliwa mkuu. We mgeni humu?
Najua ni kufunua makaburi,ila nadhani hujanielewa,si nimesema bandiko hili ni la 2011?Doesn't that make it clear that this article is not fresh?Swali langu ni kwamba kwa nini hayo makaburi yafukuliwe sasa wakati kuna tukio la kutekwa kwa Mo?Yaani ni kama kuna attempts za kujaribu ku-justify kutekwa kwake hivii.Mm,there is something unusual here.
 
dewiji ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi na demokrasia mkoani singida, naamini ndiye amewafanya wanyaturu pale singida wameanza kuwa kama omba omba vile, wanasubiri akija dewiji anagawa hela za bure, anamtumia mazala kugawa hizo hela, kwa kuwa tunakubaliana mfanyabiashara hutafuta faida mara zote, fedha anazozigawa dewiji anatumia kanuni ipi ya biashara. akishidwa kufanya kama rostam, basi awajibishwe!!!!!!
Hahahahahaha........
Wewe jamaaa bwana.
Huu ndiyo Umalaya wenyewe sasa.
 
Najua ni kufunua kaburi,nadhani hujanielewa,si nimesema bandiko hili ni la 2011?Swali langu ni kwamba kwa nini hilo kaburi lifunuliwe sasa?
Umehamisha goli. Ulisema "Kwanini tuletewe leo?" Haikuletwa leo. Nikakujulisha kwamba ni kaburi, sasa ndo umeelewa, unataka kusema kuwa uliniuliza kwanini nafukua kaburi. Hukuuliza hivyo, uliuliza kwanini imeletwa leo.
 
Naona unamtafuta Manara
Salaam kutoka Dodoma,

Nimeamua kuileta habari hii humu JF kwani vyombo vyote vya habari Tanzania viko mfukoni mwa Gullam Dewji, mwenyekiti wa Mohamed Enterprises, pamoja na mtoto wake, Mbunge Mohamed Dewji. Kwa masikitiko makubwa sana, najua nikiipeleka habari hii newsroom kwetu Mhariri Mtendaji wetu haiwezi kuitoa habari hii. Sijui na humu JF hii post haitaondolewa?
 
Cc:Manara
Kwani kalazimisha kuuziwa, serikali ndiyo inayoleta umaskini kwa kuua vyama vya ushirika halafu lawama mnamtupia mwingine. Dewji ni mfanyabiashara na ili ufanikiwe unahitaji faida regardless inatoka wapi, kwanza nadhani wakulima wanashukuru Dewji ananunua otherwise ingewaozea, au bunge lina uwezo wa kununua?
 
dewiji ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi na demokrasia mkoani singida, naamini ndiye amewafanya wanyaturu pale singida wameanza kuwa kama omba omba vile, wanasubiri akija dewiji anagawa hela za bure, anamtumia mazala kugawa hizo hela, kwa kuwa tunakubaliana mfanyabiashara hutafuta faida mara zote, fedha anazozigawa dewiji anatumia kanuni ipi ya biashara. akishidwa kufanya kama rostam, basi awajibishwe!!!!!!
Dah.. Nyie watu mnalaana, sasa ukijisoma hapa na unachocoment kwenye nyuzi nyingine hujioni kama wewe ni nyumbu?
 
Ukisoma comment ya huyu jamaa leo huwez amini. Anakuambia serikali imemteka mara Bashite kamteka mara serikali inachukia matajiri yaani imradi tu aongee
 
Dah.. Nyie watu mnalaana, sasa ukijisoma hapa na unachocoment kwenye nyuzi nyingine hujioni kama wewe ni nyumbu?
Laana ya hawa jamaa ni mbaya sana.Ukiwakuta wanacomment unaweza sema ni watu flani wenye akili timamu kumbe ni wanafki waliojaa udhandiki.
 
Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
bado wawili
rostam na huyo mwenzake
 
Back
Top Bottom