Mbunge ailipua Mohamed Enterprises Bungeni

Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
Na kweli imekuja
 
METL chini ya Mohamed Dewji siwapendi kabisa ni hatari kuliko hata mapacha 3,wamenunua kwa bei chee mahekta ya mashamba ya mkonge Tanga kwa kisingizio watayaendeleza na kukuza ajira badala yake hati zake wametumia kuomba mabilioni ya mkopo kutoka benki za nje na kujinufaisha wenyewe huu ni aina ya unyonyaji haifai kuwachekea kwa vileee.
Sasa naona kumekucha
 
Najua ni kufunua makaburi,ila nadhani hujanielewa,si nimesema bandiko hili ni la 2011?Doesn't that make it clear that this article is not fresh?Swali langu ni kwamba kwa nini hayo makaburi yafukuliwe sasa wakati kuna tukio la kutekwa kwa Mo?Yaani ni kama kuna attempts za kujaribu ku-justify kutekwa kwake hivii.Mm,there is something unusual here.
Unganisha dot acha kulalama
 
METL chini ya Mohamed Dewji siwapendi kabisa ni hatari kuliko hata mapacha 3,wamenunua kwa bei chee mahekta ya mashamba ya mkonge Tanga kwa kisingizio watayaendeleza na kukuza ajira badala yake hati zake wametumia kuomba mabilioni ya mkopo kutoka benki za nje na kujinufaisha wenyewe huu ni aina ya unyonyaji haifai kuwachekea kwa vileee.
Kwa nini wewe haukuyanunua? Maafisa waliomuuzia kwani aliwalazimisha,unatakaje ayarudishe au mmlipe fedha na fidia maana alichofanya alifanya kwa mpango na sio kama unavyodhani
 
Who is to blame? The farmers/sellers or buyers?
Katika kanuni ya mtaalam mmoja kuna hii kitu inaitwa bargain power of SUPPLIER/PROVIDER na bargain power of BUYER sasa hapo ndipo utajua kwa nini unaambiwa uende shule,asilimia kubwa wakulima shule haipo kichwani
 
Tanzania ina listi ya mafisadi hatari sana wenye asili ya kigeni ambao wamewaweka waandishi karibu wote kwenye mfuko. Pia vyombo vya dola na viongozi wengi (mpaka wa upinzani) wanahongwa na hawa jamaa. Wakiona mtu yeyote anawabughudhi wako tayari kuhonga fedha nyingi ili wamnunue au wamuangamize. Hawa mafisadi wanajua namna na kunyemelea na kukwapua raslimali za nchi.... ole wao ole wao ole wao. Yana mwisho....
1. Roztam aziz
2. Yususf Manji
3. Mohamed enterprises
4. Tania Somaia.
Hili ni listi ya hatari sana. Ole wao ole wao.....ole wao..... siku isiyo na jina yaja...
Duh
 
Back
Top Bottom