Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ni kweli mkuu na inakuwa na net full time, huko ndio nakimbilia yaani nimesahau kabisa kuhusu smart phone
Uko vizuri maana hunahaja ya kubeba power bank
Ni kweli mkuu na inakuwa na net full time, huko ndio nakimbilia yaani nimesahau kabisa kuhusu smart phone
Papa Fransis wa kanisa katoliki ni kiongozi anayeongoza watu wengi duniani, huyo mbunge ambaye ni viti maalumu nimemsikia na kumuona anaweza kuwa muhimu katuka jamii kuliko papa?
Waweza jiuliza kwa nini nauliza hivi, kifupi ni kwamba Papa kwa mara ya mwisho kuangalia Television ni tarehe 7/07/1990 ana miaka 25 hajaangali tv, pia hatumii kabisa internet, akitaka kupata taarifa za kimataifa huwa anatenga dakika kumi kila siku kusoma gazeti moja la Italy
Hivi kweli huyo jamaa hajui kusoma?
Salary Slip (mwezi uliopita umechelewa sana kutokea; naomba mwezi huu ujitahidi kuwahii...ehehehe)
Anyway kuhusu mada yako:
Kuwa na smartphone ni jambo moja kujua matumizi yake ni jambo lingine tena kubwa...!!!
A E I O U atakuwa anajua tena kwa kigugumizi, ila kikoloni hajui, na smartphone zipo kikoloni zaidi, che teh teh teh
Mgosi moja ya mambo yanayotia aibu mkoa wa Tanga ni huu mzigo walio tuwekea watu wa Korogwe.
Alishanunu Smartphone kweli?Huyu ni Mhe. Dr. Prudenciana Wilfred Kikwembe CCM Mbunge Viti Maalumu kutoka mkoa wa Katavi.
Hahahaha ila kawasaidia sana wana korogwe kabla ata ajawa mbunge,enzi hizo maji marefu ni marefu kweli kweli,misikiti kawajengea na miradi mbali mbali ndo maana jamaa bado wataendea kumchagua ,alijua mapema kucheza na akili zaoMngoni anatia aibu wagosi balaa, ila wagosi ndo vilaza wakutupwa, wameshindwa hata kumpa Dr. Mndolwa? Hawa ndugu zangu wa korogwe wanadanganywa kama watoto kisa mbunge maji marefu anawabebea maiti toka magunga hospital,
Safari hii bilashaka yule dada jembe Aminata Sabuni amewapa shule ya kutosha wataichagua UKAWA
Kitokeo chake na wewe ukaenda kufungua uzi!!!!!Hivi habari kama hii ya kuianzishia uzi ili tutenge muda tujadili? Salary slip unaniangusha. Sidhani kama ni vema kujadili personal life za watu. yeye anajua anavyofanya mawasiliano. Anzisha mada za maana vinginevyo soma mada za wengine kama mimi.Sio kila kikujiacho ni cha ku share