Mbuga ya Burigi - Chato

Mbuga ya Burigi - Chato

Kitwa-Mulomoni

Njoo ukamate mwizii huku

Hali ya hewa ya ukanda huo ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame hautokeagi huko. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji. Pia upepo ukivuma kutoka magharibi kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla. Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.
 
Enyi watu wenye mioyo ya chuki lini mtakaa na kuwaza jinsi gani ya kujikombo? Kabla hamjaanza tokwa na maneno mengi rudia historia kidogo. Ile mbuga ipo miaka mingi sana na ni eneo kubwa sana linatambulika. Azia chato hadi kimisi ipo karagwe nenda hadi kigoma wote ni mstu mkubwa.Miaka ya 94 baada ya wakimbizi wa nchi zajirani kuja benaco ndio na majambazi kuingia kwenye ile misitu wanyama waliama tembo waliuliwa. Na majangiri.
 
Mbuga FAKE ya dikteta na nduli. Haendi mtu huko usweken kapeleka wa nyama ili hotel yake ipate wateja. Pamoja na hirizi zake hotel itapata wateja kiduchu sana kutokana na laana ya Mwenyezi Mungu kuhusu maovu yake mbali mbali.
BURIGI NI MBUGA /HIFADHI ULIYOPANDISHWA DARAJA AWAMJ YA 4 PANAFAA KWA MAMBO YA UTALII LAKINI ILICHELEWESHWA SANA MAANA PORI LILIANZIA SEHEMU YA KWIMBA- MWAMALA LIKALAMBA KAHAMA. BUKOMBE MBOGWE, GEITA,KAKONKO, BIHARAMULO HADI CHATO.. KUCHELEWA KUPANDISHWA DARAJA KULIRAHISISHA MAENEO MENGI KUPOTEZA SIFA.
KWA HIYO BURIGI SIYO ENEO LA KUPUUZA TU KWA KUWA MALI YA MBOWE INAPIGWA MNADA.
 
Narudia tena Mbuga FAKE na haitavutia mtalii yeyote kutoka nje hata katika vivutio vya Watalii vinavyojulikana duniani chato burigi haimo watalii si wajinga wajinga eti muhamishie wanyama huko ili kuwachuuza.

BURIGI NI MBUGA /HIFADHI ULIYOPANDISHWA DARAJA AWAMJ YA 4 PANAFAA KWA MAMBO YA UTALII LAKINI ILICHELEWESHWA SANA MAANA PORI LILIANZIA SEHEMU YA KWIMBA- MWAMALA LIKALAMBA KAHAMA. BUKOMBE MBOGWE, GEITA,KAKONKO, BIHARAMULO HADI CHATO.. KUCHELEWA KUPANDISHWA DARAJA KULIRAHISISHA MAENEO MENGI KUPOTEZA SIFA.
KWA HIYO BURIGI SIYO ENEO LA KUPUUZA TU KWA KUWA MALI YA MBOWE INAPIGWA MNADA.
 
Mobutu kenku wa zabanga aliacha MBEGU chafu Africa ya ubinafsi wa kiwango cha SGR.
 
Nahofu kusema "BURIGI NAIFANANISHA NA ZOO KUBWA ILIYOKO PORINI BADALA YA MBUGA!!! NINA HOFU ZAIDI KWAMBA HAITALETA TIJA ILIYOKUSUDIWA KWA KIPINDI KIFUPI..."
NINAJIULIZA "SAADANI NA BURIGI IPI INAWEZA KUPATA WATALII WENGI IKITANGAZWA?" HIVI MBUGA YA "SELUU" KWANINI HAIJULIKANI?
ALIIMBA MSHAIRI "SUKANI SINIKATIKIE, SAFARI NGALIKO MBELE..."
 
BURIGI CHATO;

Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.

Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.

Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.

#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
 
Kamwe chato haiwezi fanana na kanda ya kaskazini kwa utalii,walii wengine huja kupanda mlima Kilimanjaro Kisha mbuga za Serengeti na ngorongoro baada ya hapo hurudi kwao wengine huenda Zanzibar.
Hawawezi kuja mlima Kilimanjaro wakapita Serengeti ngorongoro waende chato labda hao twiga tuwapake jik watofautiane
 
Enyi watu wenye mioyo ya chuki lini mtakaa na kuwaza jinsi gani ya kujikombo? Kabla hamjaanza tokwa na maneno mengi rudia historia kidogo. Ile mbuga ipo miaka mingi sana na ni eneo kubwa sana linatambulika. Azia chato hadi kimisi ipo karagwe nenda hadi kigoma wote ni mstu mkubwa.Miaka ya 94 baada ya wakimbizi wa nchi zajirani kuja benaco ndio na majambazi kuingia kwenye ile misitu wanyama waliama tembo waliuliwa. Na majangiri.
Vijana wengi hawaijui nchi yao Tanzania vema. Wanajua mijini tu. Geografia ya Tanzania hawaijui! Watabisha sana hawajui kwamba miaka ya 60-80 wanyama walikuwa wanatembea free nchi nzima.
 
naonelea Chattle iwe makao makuu ya East Africa na ikiwezekana hata makao makuu ya 'inji' yawepo huko

Watz tuache wivu wa maendeleo!

Chattle imebarikiwa kuliko eneo lolote LA Africa,hata Mlima Kilimanjaro ujengwe huko..INA wezekana

pia mgodi wa mererani,mwadui na hata ule wa acacia's na ile ya Barick ianzishwe huko pia.

wenye wivu wajitundike.
 
Kamwe chato haiwezi fanana na kanda ya kaskazini kwa utalii,walii wengine huja kupanda mlima Kilimanjaro Kisha mbuga za Serengeti na ngorongoro baada ya hapo hurudi kwao wengine huenda Zanzibar.
Hawawezi kuja mlima Kilimanjaro wakapita Serengeti ngorongoro waende chato labda hao twiga tuwapake jik watofautiane
Kwahiyo vichwani tayari mmeshaingia kwenye mashindano ya Ukanda??
 
Nahofu kusema "BURIGI NAIFANANISHA NA ZOO KUBWA ILIYOKO PORINI BADALA YA MBUGA!!! NINA HOFU ZAIDI KWAMBA HAITALETA TIJA ILIYOKUSUDIWA KWA KIPINDI KIFUPI..."
NINAJIULIZA "SAADANI NA BURIGI IPI INAWEZA KUPATA WATALII WENGI IKITANGAZWA?" HIVI MBUGA YA "SELUU" KWANINI HAIJULIKANI?
ALIIMBA MSHAIRI "SUKANI SINIKATIKIE, SAFARI NGALIKO MBELE..."
Selous haijulikani? wewe unaishi kuzimu?
 
Back
Top Bottom