instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Hao wanyama walikuwepo tena wengi Sana Ila Kwa sababu ilikuwa mbuga Tu majangiri hasa wa rwanda. waliwaua wote.Mbona hujaongelea hali ya hewa ya mbuga ambazo wayama wamesombwa kupelekwa chato ?Je hali ya hewa inafanana ?Au tofauti ?Na kama tofauti hao wanyama watasurvive vipi ?