Mbuga ya Burigi - Chato

Mbuga ya Burigi - Chato

BURIGI CHATO;

Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.

Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.

Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.

#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
Hujataja wanyama, ndege nk waliomo humo Burigi
 
Hizi ndo kesi za kifisadi tutakazosikia kwa mara ya kwanza Rais wa Tanzania anashitakiwa nazo na anasoteshwa rumande kama yeye anavyowasotesha akina Rugemalira nk...yan mtu ameamua aanzishe pori la kuwinda nyumbani kwao? Gbadolite in Sukumaland, sad!
 
Hiyo inawezekana sana! Kihivi: wewe si ni Mchaga, basi siku ukiwa Msubi au Msumbwa (yaani wenyeji wa Chato) ni wakati huo unaweza kubeba hiyo Ngorongoro na kuipeleka kwenu Chato. Bila hivyo utabaki Mchaga na kuendelea kuwaonea geri Wasubi na Wasumbwa ambao wamekosa maendeleo tangu Adam na Hawa waumbwe, ila awamu hii wamepata vitu vidogo sana katika maendeleo na vinatajwa sijui viwili au vitatu. Lakini vitu hivyo vinakukosesha usingizi ukivitamani wewe navyo viwe vyako. Yaani vyako tu ni wewe unayestahili-wengine wabaki nyuma.
Complete idiot...kwani uliwahi kusikia wachaga walihamisha wanyama kutoka Chato kuwapeleka Kilimanjaro? Kwanini hao wanyama hawakuzaliana Chato in first place?
 
E

Endeleza jitihada wakubwa watakuona....
Laiti ungelijua ukomo wa Kimisi na Jiografia ya Burigi ungekuja na kitu tofauti... chunguza kisha peleleza upate uhalisia hukatazwi kuunga mkono juhudi
We sijui unabisha nini?
 
Back
Top Bottom