EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
- Thread starter
- #21
Bravo my lovely home Tanzania.
Bravo my lovely home Tanzania.
Ndio yale yale, vivutio mnavyo bora kuzidi mataifa yote lakini nyie ni wale wale tu, umaskini unazidi kutamalaki na kushindwa kiuchumi na viinchi vidogo vidogo kama Kenya. Madini mnayo ya kumwaga, ardhi kubwa mara mbili ya Kenya....yaani kweli haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali.
Jiandae tu kwa maumivu zaidi. Maana yajayo yanafurahisha. Uko tayari?
Hii inamaanisha advertisements more utaliiIngekua mara ya kwanza kwenu nyie kupata hizi tuzo labda ingekua dili, lakini kutajwa wenye vivutio bora, sio mara ya kwanza, ila kama nilivyosema, haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali....dayaspora wa Buza...aka ze ze ze
Ingekua mara ya kwanza kwenu nyie kupata hizi tuzo labda ingekua dili, lakini kutajwa wenye vivutio bora, sio mara ya kwanza, ila kama nilivyosema, haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali....dayaspora wa Buza...aka ze ze ze
Inglishi kibera boy. Hii huwezi kuielewa maana yake. Maana uwezo wako umeishia kuandika, kusoma na kuhesabu (kkk) kwa basic kiingereza. Unajaribu kujikweza kufikia level ya authors and referees of a number of articles in different journals. Ilhali wewe ni mchuuzi wa sundry items za nyumbani kama Colgate, foma, mbuni. Unawasingizia jamaa zako wa Yombo kuwa hawajui kuandaa taarifa wakati hata wewe hujui kuandika. Siku hizi umekuwa kiboga kila uchao unazidi kuharibika. Umezidi kujaza pumba kwenye JF yetu ambayo ni kisima cha elimu.
Halafu kingine dayaspora wa Buza, kingereza huwa kinawanyima sana kwenye hili, mgeni anaingia anapokewa na mtu ambaye muda wote ni ze ze ze hajijui anasema nini....kuna sehemu nilisoma kwamba asilimia kubwa ya watalii wanaokuja Bongo hawarudi tena, subiri nifukue hizo takwimu, kwanza ni takwimu zenu wenyewe...
Vivutio mnakua navyo bora lakini havina umuhimu kama wenyewe ni wale wale...
Kanye boga kama inakuumaNdio yale yale, vivutio mnavyo bora kuzidi mataifa yote lakini nyie ni wale wale tu, umaskini unazidi kutamalaki na kushindwa kiuchumi na viinchi vidogo vidogo kama Kenya. Madini mnayo ya kumwaga, ardhi kubwa mara mbili ya Kenya, yaani kweli haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali.
Jinsi umri wako unavyosonga, ndivyo akili zako zinazidi kushuka.
Tanzania tourism revenues $2.6BHizi hapa taarifa kwamba zaidi ya asilimia 80% ya watalii huwa hawarudi Tanzania, hivyo vivutio mnavyo bora ila hakuna anayerudi tena kwa namna mlivyo watu wa ze ze ze
Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...www.jamiiforums.com
Hizi hapa taarifa kwamba zaidi ya asilimia 80% ya watalii huwa hawarudi Tanzania, hivyo vivutio mnavyo bora ila hakuna anayerudi tena kwa namna mlivyo watu wa ze ze ze
Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...www.jamiiforums.com
Wee umejuaje wakati wizara husika wanajaribu ku find out why!!!?