Taifa_Kwanza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 443
- 88
Hapa tatizo ni kwa Bunge.
Bunge ndio lilitakiwa lihakikishe kwamba kuna proper communication setup hata kwa wabunge wote
zenye mbowe@bungetz.org etc, lete communications za Chadema zenye fault ya namna hii nikupe shavu.
ama sivyo hii ni scrap
Yaani unataka kusema kwamba wabunge hawana email za Bunge?? au bunge halina domain yake?? au bunge letu lipo kwa mfumo wa yahoo na gmail??Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.
Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR
Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?
I mean mbowe2008@gmail.com
I mean letterhead ya bunge, ina email address ya mbowe na mwandishi ni Zitto Kabwe
and these clowns maana I cant even call them comedians kwani hata comedians get paid for their performances. Sasa these jokers wants us to take them serious?
why should Salva alone bear the brunt of my criticism halafu Freeman, Zitto and their entourage wakapewa free ride?
I mean how hard is it to set up say:
srweyemamu@ikulu.gov.tz
or
mawasiliano@ikulu.gov.tz
or
zittokabwe@chadema.org.tz
or
fmbowe@chadema.org.tz
or
chairman@chadema.org.tz
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.
Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
Asiyekuelewa hapa basi ana matatizo... siku hizi waweza hata kufungua email ya familia e.g. acid@mtm.com
dah
At least Salva has got something to cheer him up kama akisharudishiwa umeme
kasome tena uje... na kama nikuelewa, natakiwa nimuelewe slidingroof aliyeleta mada au wewe mkamap unayechangia?? or do you want me to believe mkamap ni slidingroof siyo??Na wewe nahisi hujaelewa pia.
Shida yangu mimi huwa sipendi unafki, CHADEMA ilisema wakati wa uchaguzi kuna contena la vifaa vya kampeni limezuiliwa bandarini zikiwemo posters, bendera, na skafu, sina haja ya kupewa tshirt na kofia mimi sio ccm, lakini kilichonikera hivi Posters za mgombea urais kuwa chache namna hile ni sahihi? je lile contena liko wapi? nikirudi kwenye point, mtu akileta mawazo chanya ya kuikosoa CHADEMA asipingwe na asikilizwe na viongozi wa chadema wako humu wayafanyie kazi haya. wakati wa kampeni tulishuudia vituko wagombea wachadema wanatumia nembo ya chama kuomba michango ya kampeni lakini account wanatoa za kwao binafsi hawatoi account za chama, Zitto Kabwe ni miongoni mwao na nilimkosoa on the spoti kule facebook.
Tujisahihishe.
Hueleweki ama huelewi.
my take to his post was authority ya portfolio, formal media of communciation and a right vehicle to it, the last one being central point... DOMAIN IS KEY THESE DAYS
Well said MTM.
Chadema ishukuru hii barua ya Zito kufika JF. Challenges zichukuliwe constructively. Mtoa mada na proponents wanaipenda CDM.
Domain ni muhimu, and it is cheap kwa CDM. Nadhani hawajaliangalia hili, wako bize na vita ya ukombozi wa Tanzania and we thank you CDM for it.
Inama kaza kamba za viatu. Rough road ahead.
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.
Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
makes you question inawezekana ikawa huko Chadema nako kuna ufisadi wa hali ya kutisha
maana pesa na budget za PR wanazo lakini naona wamekuwa complacent ...kwa nini Zitto anatumia stationery za Freeman?
how hard is it kuwa na domain name yenye email address yake?
sasa if they cant manage minute stuff like these kweli wanaweza kutupatia National ICT policy ambayo ni mbadala?
Mkuu umekurupuka.
Mtoa mada yuko sahihi kabisa. Anachotolea changamoto ni kweli. Kama tuliweza ikosoa Ikulu na kumshambulia Mkurugenzi wake mawasiliano kwa kuanzisha email kwa hizi public/free mail kwanini tusiwakosoe viongozi wa upinzani bungeni kama wanafanya kosa lile?
No!! Tumieni private email kwa faida ya nchi na usalama. CHADEMA ni taasi makin. Uongozi wa upinzan i Bungeni ni ofisi makin.
Mtoa hoja ana pointi ya msingi tu!
Mimi nina run kikampuni kidogo lakini ili kukapa heshima nina domain inayoukuwa hosted kwenye server ya local service provider wangu pungufu ya dola 200 kwa mwaka.
Sasa kwa sababu ya security concern CDM wanaweza nunua server yao kwa bei nzuri tu kwa kuanzia hata $10,000. Kutumia email inayoonekana kibinafsi zaidi huleta tafsiri ya hasi.
Ushauri wangu CDM wawe na server na domain yao (kama hawana) ili mawasiliano ya kawaida/jumla yaende huko. Kitu kama ni konfidensho sana ruksa kutumia email binafsi kama kuna wasiwasi na IT expert. Mbona hata simu za mkononi wakati mwingine hawa wakubwa wanakuwa nazo mbili (one known to the public).
CDM wachukue changamoto hii kwa mtazamo chanya
akili yako kidogo nina mushkir nayo, unachojaribu kujibu si kilichowekwa dawatini, suala lililopo ni domain na si urasimu unaouzungumzia. kwani hawezi kuwa na domain ya chadema na email address ikawa ya mwenyekiti moja kwa moja... si kila kitu kinachofanywa na chadema ni sawa kuna vingine vinakosewa na humu ndio mwa kurekebishana...
Yaani unataka kusema kwamba wabunge hawana email za Bunge?? au bunge halina domain yake?? au bunge letu lipo kwa mfumo wa yahoo na gmail??
I mean tuko nyuma sana? yaani nyuma kuliko nyuma ya nyuma siyo??
Slidingroof has a very valid point........ ni comedy ya kijinga hadi leo watu wakubwa kama MWenyekiti wa chama au Mbunge wa bunge kukosa email ya kazi yake