Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

Naona wafu wanazikana sisi tutaenda kwenye matanga baada ya msiba ambao hauko mbali sana.
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

Kama Chadema kilimkuta zitto ndani ya siasa nitakuelewa ila kama zitto aliikuta chadema na akaomba kujiunga hana budi kukubali kuolewa na ndoa imemshinda. CHADEMA hakuna unafiki wa ccm..

Good morning
 
Mbowe ni mwanasiasa aliyekomaa, hawezi kuongea maneno kama hay😵ver
 
SLAA naye akasema kwenye ukurasa wake wa facebook kuwa hawana tatizo na ZITTO, ni kijana wao. Nani mkweli? CHADEMA acheni kutudanganya, muombeni msamaha ZITTO.

punguan at work
 
Si mlisema Chadema itakufa ? Sasa huoni kuwa ndio inasonga mbele na yale makelele kwenye media kila uchwao huoni yamepita ? Spinner is no longer ...........
Kuna ukawa siku hizi mbona unataka kunichanganya?
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

Hakuna ubishi 'Zitto AMETOKA na chama mbali' (sio amekitoa chama mbali) na mchango wake kwa Chadema ni mkubwa mno, lakini hilo halihalalishi usaliti alioufanya. Chadema si chama strong Kigoma, NCCR is..miaka yote ambayo Zitto amekuwa Chadema ameshindwa kukifanya Chama kuwa strong Kigoma kama ambavyo kina Mbowe wamefanya chama kuwa strong Kilimanjaro, Slaa alivyofanya chama kuwa strong Arusha na Karatu, au hata new-comer Sugu alivyofanya chama kuwa strong Mbeya. Hakuna haja ya Mbowe kuwa na shukrani kwa Zitto, alipaswa kutimiza wajibu wake kwa chama na kwa waTanzania...sijawahi kuona sehemu Mbowe akiwashukuru Sugu, Mnyika, Mdee, Msigwa, Arfi, Lissu...why Zitto ashukuriwe!?
 
Mhe Zitto, wewe ni mpambanaji kijana wa karne. Mchango wako ktk siasa za nchi hii hauna mfano. CDM ni chama chako kilichokulea na kukupa umaarufu mkubwa nje na ndani ya Tanzania. Mhe. Zitto mgogoro wako na CDM umesononesha vijana wapenda mabadiliko kwani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Ushauri wangu kwako, ni kwamba rudi kundini yaani CDM kama mwanachama wa kawaida tujenge chama imara.
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

sasa suala la UCHAGA linaingiaje hapa wewe mwehu? hebu tutolee ukabila wako hapa, bustard fool!
 
nan zito kwenye cdm nawaambien chadema haina mwenyewe hata mbowe akikoroga atasepeshwa na chama kitabak
 
Uchaga+ruzuku+ubinafsi= zitto kuondoka=upumbafu+upuuzi+ukabila
Zitto cdm inamthamini inampenda kijana wao tatizo ALILOLITENDA kwa WATANZANIA? ni nini KITAUTHIBITISHIA UMMA wa watanzania ya kwamba atakaporejea hatafanya tena madudu yake?/pia hofu iliyopo kwa cdm ni kwamba atakaporudi hasa ktk kipindi hiki ni HATARI zaidi,BINAFSI yangu Zitto arudishwe isipokuwa atolewe Meno ktk kipindi hiki kuelekea uchaguzi ili wanachama na viongozi waendelee kumpima taratibu kabla ya kumrejeshea meno!2016/"UKABILA UKABILA MNATAKA KUTAMBIKA"mwl jkn
 
Last edited by a moderator:
hiv wew ni mwanasiasa kwel? unayeweza hata siku moja ukagombea hata ujumbe wa mtaa?

Pamoja na Wema wote Zitto aliowafanyia bado jitu linathubutu kusimama mbele ya hadhara na kuongea ujinga.

Mbowe Zero kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Si mlisema Chadema itakufa ? Sasa huoni kuwa ndio inasonga mbele na yale makelele kwenye media kila uchwao huoni yamepita ? Spinner is no longer ...........

Mzee wa Gombe sijui ameishia wapi, alikuwa amekomaa kweli kumbe alikuwa anawatumia akina ZZK kukivunja chama. Siku akienda kumtembelea Buhohela kwenye Dk 45 aulizwe utabiri wake uliishia wapi, maana CDM inazidi kuchanja mbuga isivyo kawaida!
 
Back
Top Bottom