Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

Mbowe: Zitto kajiharibia mwenyewe kwa kurubuniwa na CCM

Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

Zitto: Wapambe wamenifitinisha na Mbowe
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

Amekitoa mbali wapi? Zito ndiye ametolewa mbali na cdm - toka nowhere hadi political fame.
 
SLAA naye akasema kwenye ukurasa wake wa facebook kuwa hawana tatizo na ZITTO, ni kijana wao. Nani mkweli? CHADEMA acheni kutudanganya, muombeni msamaha ZITTO.
Slaa alishasema kuwa HANA akaunti facebook. Hiyo uliyoiona labda ni km ile ya Twita ya Tanesco
 
Tamaa ya madaraka kwa wote ( MBOWE & ZITTO) ndio sababu ya yote haya

Ila mi sishangai ndio Miafrika tulivyo
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

Zitto ni msaliti kama kawaida ya watu wa kigoma hakuanza yeye,alikuwepo katibu mkuu wa chadema dr wilbrod kaburu,kuna mwingine nsanzaguako wa NCCR mageuzi wote wakigoma walirubuniwa na ccm na kupewa vyeo wakasaliti vyama vyao kigoma njaa sana.
 
Nakuomba mkuu Zitto Kabwe uje hapa jukwaani kututhibitishia aliyo yasema mkuu MBOWE.
Ili kuondoa dhana potofu.

Una uhakika gani kama hayo maneno kayasema Mbowe? Hayo yameandikwa na Tanzania Daima ikidai imemnukuu Mbowe. Kama nia yako ni kupata kauli ya Zitto ungeanza na Mbowe aje ku comfirm taarifa ya Tanzania Daima
 
Last edited by a moderator:
habari picture,
mkutano uko wapi hapa, jukwa liko wapi hapa coz naona makundi mawili, je, kazi ya chopa nini??? time will tell
 
Sijawahi kuona Mchagga katili na asiye na shukrani kama MBOWE, Pamoja na wanayomtuhumu nayo ZITTO yote , bado alitakiwa kuwa na mshipa wa aibu kwa kuwa ZITTO amekitoa Chama mbali sana. Ndiyo anayea kambi hivyo huyo MBOWE anachezea watu wa KIGOMA.

Katili kuliko Mwigulu? ninyi ndio Zitto anawaita wapambe, mnampa misifa asiyoistahili na yeye akadhani ni bora kuliko chama. Aende ACT nayo akaitoe mbali.
 
hawa watu wa kigoma wana matatizo gani hawa,,

Zitto na Kafulila wanataka Kigoma iwe ngome kuu ya ACT. Zitto ataacha ubunge bunge hili likiisha, kafulila anaendelea kuwashawishi kina machali. Lengo ni kukamata majimbo yote ya Kigoma.
 
Back
Top Bottom