Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

Sidhani kama Mwamba aliwahi kufikiria kuwa kuna siku atautafuta Uenyekiti kwa Damu na jasho😂
 
Kwani umelazimishwa kumsikiliza? Si ubadili channel hata uangalie cartoon tu!! Unajilazimisha nini kumsikia mtu ambaye humpendi. ? Wewe ni kichaa?

Sijawahi kuona mijitu MIPUMBAVH kama ra kambi ya Lissu
Logic vis Keyboard warriors ni vitu viwili apart.
 
..Mbowe aliwachukulia wanachama wake kirahisi sana ndio maana leo anahangaika ktk kila chombo cha habari?
 
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
mwendakuzimu wewe, sasa umeweka kichwa cha habari huku content umeandika ujinga
 
Hata kama sijafa sijaumbika, Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu wa chochote hapa Tanzania. Atatuharibia nchi yetu na kiburi chake
Nchi yenu imekwisha haribiwa hivyo watu kama Lissu ndio wa. Kuikomboa na sio hao chawa wa Samia!
 
Back
Top Bottom