Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 509
Mkuu barafu, huyu jamaa ni intake ya A-level 2000-2002. Akitokea Rubya semy!..Mwaka gani hiyo mkuu Dominus Vobiscum
Mkuu barafu, huyu jamaa ni intake ya A-level 2000-2002. Akitokea Rubya semy!..Mwaka gani hiyo mkuu Dominus Vobiscum
Kipindi cha nyuma hali ya hewa ilikua tofauti na n sasa. Zamani mvua z uhakika saivi hakuna au zinakuwepo.Dah... Kwa sababu ya kumzuia Mbowe kuharibu mazingira? Acha utani bana[emoji15] [emoji15]
Sheria inasema mita 60, shamba la Mbowe lote lipo ndani ya mita 60 kutoka chanzo cha maji?Mkuu wa Wilaya ya Hai amepiga marufuku kuendeleza kilimo kwenye Shamba la Mbowe ambalo ni shamba la urithi, sababu kubwa
shamba hilo liko kwenye chanzo za mtu weruweru
Source: Mtanzania
Jibu ni ndio. Ndo maana kapigwa marufuku kulima kwenye shamba hiloSheria inasema mita 60, shamba la Mbowe lote lipo ndani ya mita 60 kutoka chanzo cha maji?
Lakini ardhi hiyo hiyo ikiwa na mirungi au bangi ambavyo vina soko zuri kwa majirani zetu hiyo ni yako!Chadema mlihitaji serikali inayofuata sheria.Sheria zipo wazi chanzo cha maji,dhahabu,almasi,mafuta na gesi ni mali ya serikali.
Ukiwa na ardhi halafu ikabainika ni chanzo cha maji,kuna mafuta,gesi,dhahabu au almsi basi eneo hilo otomatikale linarudi serikalini!!!
Brain retard..Nchi inakwenda kugawanyika.............tena mgawanyiko wa chuki Kali, ngoja tuone mwisho wake.
mbna sasa mashamba yote yapo hivyo tutalima wap?[
Naomba kujuzwa sheria ikishatungwa inaoperate na backward au forward tu. manake kama labda kabla ya ukoloni mababu waliishi eneo fulani inakuwaje sheria itungwe waliopo leo waondoke bila fidia?
wewe sasa unatanua magoli.sie tunaongelea rasilimali za Taifa wewe unaleta mambo ya bangi hapaLakini ardhi hiyo hiyo ikiwa na mirungi au bangi ambavyo vina soko zuri kwa majirani zetu hiyo ni yako!
Hivi mnaelewa maana ya chanzo cha mto?Pole mashamba yote ya Machame yapi na vijito vingi vya Maji labda muaamvie wamachame wahame kwao muwapatie maeneo mengine.Labda Maeneo kama Chato ili Yale mashamba yao wayaachie Serikali ya CCM
Sebho kangi shakomanika mundu panupanuWandali wanasema: poshakomanika munduu
Gwo shiliSebho kangi shakomanika mundu panupanu