Mbowe tena, DC ampiga marufuku kulima shamba lake

Mbowe tena, DC ampiga marufuku kulima shamba lake

Sheria inasema nje ya 60 meters toka chanzo cha maji.. sasa kama shamba lake liko within 60 meters itakuwa kosa, naamini ile sehemu ya shamba lake lililoko ndani ya mita 60 toka mto Weruweru hataruhusiwa kulima, ila sehemu ya shamba lililo nje ya mita 60, anaruhusiwa kulima..
 
Hili suala mbona liko uchi, wala halihitaji DC/RC kulitolea taarifa

viongozi wetu inabidi wafanye kazi kwa mfano kwa hili yeye alitakiwa atoe mfano ili tuweze walazimisha maCCM na wafanyabiashara/wakulima/wafugaji wengine
 
Mkuu hakuna cha wananchi milioni 8 nyuma ya upinzani wanaotaka mabadiliko ya kweli. Watanzania walishawafahamu mafisadi ni akina nani na sasa wameshajitoa kwao. Mafisadi waliojinasibu kuwa wanataka mabadiliko ya kweli ndo hao akina Mbowe, Lowasa, Sumaye, Kingunge, Msigwa, Lisu and team. Mwaka 2020 ndo msemakweli. Tusubiri.

TUMEWASHTUKIA NA TUMEWAKATAA.
Matatizo yangu yanaanzia hapo....
umetoa orodha ya mafisadi, serikali ilianzisha mahaka ya mafisadi peke yake ili kurahisisha mafisadi hayo kuswekwa ndani. Kwa nini hawa mafisadi wanajulikana na wanaendelea kula maisha tu mitaani? Kwa nini mahakama iliyoanzishwa kwa pesa yetu haitumiki kuwashitaki hawa mafisadi?
Kama sio mafisadi na tuufunge huu ukurasa maana ni miaka mingi mno tumeaminishwa hivyo na hakuna la maana linafanyika.
 
Eleweni kitu kimoja, Mbowe alikopa fedha nyingi na dhamana yake ni hayo mshamba etc. sasa wanaomdai wamemkalia kooni .... .... patamu hapo. Si yumo humu JF Wacha aje alete ufafanuzi.
 
Hatutungi sheria ili tuwe watumwa kwazo, bali tunazitunga ili zitusaidie.
Wapumbavu hukariri sheria hadi wakawa watumwa.
 
Mbowe kama mjanja aanze kuuza mali zake na kupeleka ela nje ya nchi yan watapora kila kitu
Afu mmesahau
Mwalimu nyerere alikua anafadhiriwa na mZee mbowe hadi nauli ya kwenda uingereza alipewa na babake mbowe eti leo mbowe adui wa taifa duu kwanza kwan mbowe unanufaika na nini kua mpinzan ikiwezekana hamia ccm tanzania kusiwe na upinzani
 
Mkuu hakuna cha wananchi milioni 8 nyuma ya upinzani wanaotaka mabadiliko ya kweli. Watanzania walishawafahamu mafisadi ni akina nani na sasa wameshajitoa kwao. Mafisadi waliojinasibu kuwa wanataka mabadiliko ya kweli ndo hao akina Mbowe, Lowasa, Sumaye, Kingunge, Msigwa, Lisu and team. Mwaka 2020 ndo msemakweli. Tusubiri.

TUMEWASHTUKIA NA TUMEWAKATAA.
Endeleeni kujipa moyo ivyo ivyo. Yani ni kimya kmya usimuamshe aliyelala
"Too much"-Darasa
 
Tatizo la msingi katika nchi yetu ni kuingiza siasa kwenye kila kitu. Ni malimbukeni wa siasa
 
Agizo Kutoka juu
Unanisha agizo kutoka kwa mungu? Mana tunaamini mungu yuko huu ndo mana tunasali huku tukiangalia huu labda waislamu ndo wanaamini mungu yuko chini ndo mana wanaangalia chini kumuadlbudu mungu na kudhihilisha hilo kwenye pani LA uso kuna nundu ya ranging nyeusi. Sijui mungu yuko wapi hasa. Wabudha wao wanaangalia nyuma yao labda wanaamini mungu yuko nyumba yako hayuko mbele
 
Mleta mada kwa kushindwa kuonesha ni mbowe yupi umefanya Watu wengi wachangie kwa mtazamo wa kisiasa zaidi.Shamba ni la mama mmoja ambaye ukoo wake ni mbowe.Huo ni ukoo mkubwa kiasi kwamba Watu hawajuani.Haina uhusiano wowote na Mbowe aliyekusudiwa na wachangiaji.
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai amepiga marufuku kuendeleza kilimo kwenye Shamba la Mbowe ambalo ni shamba la urithi, sababu kubwa
shamba hilo liko kwenye chanzo za mtu weruweru

Source: Mtanzania
Tunahitaji maji Tanzania kwa hyo lichukuliwe tu hakuna jinsi!
 
Sehemu zingine wanaambiwa wskishavuna wasilime tena ila kwa Kilimanjaro usitishwaji ni same day why Wachaga wanaonewa? Tuliona vutunguu vilivyoteketea kwa kukauka eka 200
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai amepiga marufuku kuendeleza kilimo kwenye Shamba la Mbowe ambalo ni shamba la urithi, sababu kubwa
shamba hilo liko kwenye chanzo za mtu weruweru

Source: Mtanzania






Sasa kuna kosa gani,dc chapa kazi wanooshe malofa .
 
Back
Top Bottom