Mbowe tena, DC ampiga marufuku kulima shamba lake

Mbowe tena, DC ampiga marufuku kulima shamba lake

Chanzo cha maji huwa kinalindwa na sheria. Kama shamba la Mbowe kweli limo ndani ya eneo la hifadhi iliyotajwa na sheria basi anatakiwa asimamishwe kweli, kama sivyo, sheria itamlinda.

Sheria inasema shughuli za kibinadamu ikiwa ni pamoja na kilimo sizifanyike ndani ya mita 60 kutoka chanzo cha maji, msitu wa asili au maeno mengine yoyote yaliyohifadhiwa. Je shamba lote lipo ndani ya mita 60 ambazo zimekatazwa kisheria? Au, katazo hili linahusu eneo linaloangukia ndani ya mita hizo 60?
 
Ukiwa mpinzani halisi utatafutwa kila kona ya kiuchumi ili njaa ikumalize. Fikiria Bilicanas, protea hotel sasa shamba lisilimwe. Hatariii
 
Sheria inasema shughuli za kibinadamu ikiwa ni pamoja na kilimo sizifanyike ndani ya mita 60 kutoka chanzo cha maji, msitu wa asili au maeno mengine yoyote yaliyohifadhiwa. Je shamba lote lipo ndani ya mita 60 ambazo zimekatazwa kisheria? Au, katazo hili linahusu eneo linaloangukia ndani ya mita hizo 60?

Ni sawa ila kuna maeneo maalum huwa yanatungiwa sheria zake, eidha sheria ndogo au sheria kamili kulingana na mahitaji. Mifano ipo. Najaribu kuliangalia jambo hili kwa namna hii, japo kuna uwezekano wa figisu pia. There is a new sheriff in town, thinga are different
 
Mbona freeman kila sehemu yupo du. Hiyo kiongozi ni hatari, maana ktk ufisadi yupo, ktk uchu wa madaraka yupo na kuharibu vyanzo vya Maji tena yupo, tusubiri.
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai amepiga marufuku kuendeleza kilimo kwenye Shamba la Mbowe ambalo ni shamba la urithi, sababu kubwa
shamba hilo liko kwenye chanzo za mtu weruweru

Source: Mtanzania
haya mambo ndo yanafanya bara la afrika aliyeshindwa asikubali matokeo maana anajua kukubali matokeo ni kukubali kuishi chini ya mateso ya watawala na kufanywa kuwa maskini ndo maana nasema kwa mara ya kwanza 2020 kutachimbika maana apandacho mtu ndo avunacho chuki inayopandwa na utawala huu kwa visingizio chungu nzima lazima TUTAIVUNA 2020
 
Pole mashamba yote ya Machame yapi na vijito vingi vya Maji labda muaamvie wamachame wahame kwao muwapatie maeneo mengine.Labda Maeneo kama Chato ili Yale mashamba yao wayaachie Serikali ya CCM
Lambo, Masama, Sanya na Kimashuku tuwaachie wao
 
Bavicha mnalalamika tu mitandaoni...mwanaume anazidi kuwanyoosheni
nani anamnyosha nani?mi sina chama na mambo yangu yanakwenda ila siwezi kufurahia ungese!kuna majitu inafanya maamuzi kama wangese mi nachojua kuna kiongozi fulani mkubwa anavuta
 
Mkuu hakuna cha wananchi milioni 8 nyuma ya upinzani wanaotaka mabadiliko ya kweli. Watanzania walishawafahamu mafisadi ni akina nani na sasa wameshajitoa kwao. Mafisadi waliojinasibu kuwa wanataka mabadiliko ya kweli ndo hao akina Mbowe, Lowasa, Sumaye, Kingunge, Msigwa, Lisu and team. Mwaka 2020 ndo msemakweli. Tusubiri.

TUMEWASHTUKIA NA TUMEWAKATAA.
vipi mahakama yenu ya mafisadi?mbona hawapelekwi hao mafisadi uliowataja?
 
Wanajaribu kupakaa rangi upepo. Ila Ni upepo tu tunapita badae nch itakuwa ktk mikono salama
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai amepiga marufuku kuendeleza kilimo kwenye Shamba la Mbowe ambalo ni shamba la urithi, sababu kubwa
shamba hilo liko kwenye chanzo za mtu weruweru

Source: Mtanzania
Basi sawa baada ya bilikana kuyumba tunawekeza kwenye kilimo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yaani Taifa ligawanyike kwa kuwa tu kuna KABAILA/BEPARI kazuiwa kulima Shamba lake kuhifadhi Mazingira na Chanzo cha Mto?
Hapa masikini akisubiria tajiri aishi kama shetani huku masikini akiishi maisha ya dhiki kuliko mbwa
 
Chadema mlihitaji serikali inayofuata sheria.Sheria zipo wazi chanzo cha maji,dhahabu,almasi,mafuta na gesi ni mali ya serikali.
Ukiwa na ardhi halafu ikabainika ni chanzo cha maji,kuna mafuta,gesi,dhahabu au almsi basi eneo hilo otomatikale linarudi serikalini!!!
 
Back
Top Bottom